WAGHANA Frederick Lawson na Issac Sowah wanatarajia kupanda ulingoni Machi 8, 2013 kugombea mkanda wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati (IBF AMEPG) katika uzito wa Welterwweight kwenye uwanja wa Accra Sports jijini Accra, Ghana. Mabondia hao wamepangwa katika kapambanoi ya utangukizi wakati wa mpambano mkubwa wa kugombea mkanda wa dunia kati ya bondia …
Mabondia Agbeko na Mendenez Kugombea Ubingwa wa Dunia
KUNA hekaheka nyingi kwenye jiji la Accra, nchini Ghana wakati wa pambano la kugombea ubingwa wa dunia kati ya bondia marufu Joseph Agbeko kutoka Ghana na Luis Mendenez bondia anayetoka katika nchi ya Amerika ya Kusini ya Columbia watakapokutana siku ya jumamosi tarehe 8 Machi. Kati ya mapambano ya utangulizi bondia anayeinukia kwa kasi Richard Commey atakutana na bondia mwenzake …
Kampuni ya CFAO Motors Yadhamini Mashindano ya Kuogelea
Rais wa TALISS Swimming Club Bi. Najat Saleh Ahmed (mwenye miwani nyeusi) akizungumza na washiriki pamoja na wageni waalikwa wakati wa ufunguzi wa mashindano ya kuogelea yaliyoshirikisha Club mbalimbali na kwa rika tofauti yaliyodhaminiwa na Kampuni ya CFAO Motors wauzaji wa magari ya kisasa hapa nchini yaliyofanyika katika bwawa la kuogelea la shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST). Amesema Mashindano …
Uongozi wa Lifeline Music Waizuia Ngoma ya Mwana FA Isitoke
TAARIFA KWA WADAU LEO Februari 25 mwaka 2013 ndio ilikuwa iwe siku nyingine ya kihistoria katika medani ya muziki wa kizazi kipya. Kwa siku kadhaa sasa tumekuwa tukitangaza kwamba wimbo mpya wa MwanaFA ulio katika mahadhi ya Hip Hop uitwao “Kama Zamani” aliowashirikisha Man’dojo, Domokaya na The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) ungeanza kuuzwa kupitia njia mbalimbali kama ‘iTunes’, ‘Amazon’ na …
Kingkapita Aachia Kibao ‘Kuna Tatizo Kwani’?
MSANII Kingkapita kutoka nchini Tanzania ameachia wimbo wake mpya unaojulika kwa jina la Kuna Tatizo Kwani?. Wimbo huo ambao amemshirikisha msanii Godzilla na kuandaliwa na studio ya DEFATALITY anatarajia kushika wapenzi wengi wa miondoko hiyo. Katika taarifa yake kwa mitandao ya kijamii msanii huyo amesema wimbo mpya umebeba mistari ya kuelimisha na kuburudisha jamii katika makundi tofauti. Wimbo una mistari …