Bendi 10 Maarufu Kutumbuiza Jukwaa Moja Leaders Dar

   Baadhi wa wadau wa muziki wa dansi na wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.  wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Mdau wa muziki wa dansi, Asha Baraka akizungumza katika mkutano huo kuhusu tamasha hilo la kukata na shoka ambalo alijawahi kufanyika hapa nchini.  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wanamuziki hao kuhusu tamasha hilo la muziki wa …

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Akutana na Wasambazaji Kazi za Sanaa

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wawakilishi wa Wasambazaji wa kazi za Sanaa nchini (hawapo pichani) waliotembelea kujua Urasimishaji wa kazi hizo katika ofisi ya Bodi hiyo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam.     Afisa Utamaduni Bodi ya Filamu, Bw. Romanus Tairo akielezea jambo wakati wa mazungumzo na Wawakilishi wa …

Msanii Navy Kenzo Kutumbuiza Miss Tanga 2016

    Na Mwandishi Wetu Tanga MSANII wa Mziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Navy Kenzo anatarajiwa kutumbuiza kwenye shindano la kumtafuta malkia wa Mkoa wa Tanga Miss Tanga 2016 litakalofanyika Julai 29 mwaka huu kwenye ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort.   Licha ya Navy Kenzo wasanii wengine ambao watasindikiza onyesho hilo kwa kutoa burudani ni kundi la mziki wa kizazi kipya mkoani Tanga,Wazenji …

Hukumu Kesi ya Mwanariadha Oscar Kutolewa Leo

Mwanariadha mlemavu wa miguu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius leo atafahamu iwapo atakwenda jela kwa kosa la mauaji ya mpenzi wake Reeva Steenkamp au la. Mwanariadha huyo alipatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake baada ya maamuzi ya rufaa dhidi yake ambapo sasa anakabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela baada ya vita ya kisheria iliyochukua takriban miaka mitatu. Mwanariadha …

Mashabiki Wapagawa na Albam Mpya ya Beyonce

Albamu mpya ya Lemonade iliotolewa na Beyonce Knowles imeorodheshwa miongoni mwa albamu zilizopendwa sana baada ya kutolewa mwaka huu,lakini ,kipande cha albamu hiyo kilichotolewa wiki moja kabla ya uwepo wa albamu hiyo kufichwa hadi wakati wa toleo la filamu fupi lililoandamana na albamu hiyo kimezua utata. Kipande hicho cha albamu hiyo kilishirikisha msururu wa vipande vifupi vifupi vya albamu hiyo …

Lady Jay Dee Apeleka Ndindindi kwa Wabunge Dodoma…!

  MWANAMUZIKI Nyota wa Kike nchini Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee anayetamba na kibao chake cha #NdiNdiNdi amefanya onyesho alilolipa jina la #NaamkaTenaTour katika viwanja vya Royal Village, onyesho lililohudhuriwa na watu na watu mbalimbali akiwemo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, Waheshimiwa Wabunge, Mkuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez …