Wanariadha wa Kenya Wafanya Kweli Kilimanjaro Marathon

  Na Mroki Mroki-Father Kidevu Blog-Moshi    Wanariadha kutoka Nchini Kenya wameendeleza Umwambawao katika mbio za Nyika za Kilimanjaro ‘Kilimanjaro Marathon 2013’ zilizofanyika leo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Wakenya walidhihirisha umwamba katika Mbio za Kilometa 42 baada ya Mkimbiaji wao Kipsang Kipkemoi kunyakua nafasi ya kwanza  katika mbio hizo za mwaka huu upande wa wanaume na Wanawake ilinyakuliwa na Mwana …

TFF Yaomba Kukutana na Waziri Dk Mukangara

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema ipo haja kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kufikiria upya uamuzi wake wa kutengua usajili wa Katiba ya TFF ya mwaka 2012 na kutaka itumike ya mwaka 2006, kwani hautekelezeki. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao cha Kamati ya Utendaji, Rais wa TFF, Leodegar …

Mpambano wa Ubingwa wa Ngumi WBF Kufanyika Mkwakwani Tanga

PAMBANO la masumbwi kutetea mkanda wa mabara wa WBF (World Boxing Forum) unategemea kufanyika katika uwanja wa mkwakwani jijini Tanga kwa kuwakutanisha mabondia, Alan Kamote, ambae ni bingwa mtetezi wa mkanda huo aliouchukua nchini Malawi kwa kuzipiga na bondia Jumanne Mohamed wa Tanga ambae anavyo vigezo na sifa zote za kuugombania ubingwa huo. Jumanne Mohamed ambae alipata nafasi ya kugombania …

Mwandi Yaanzisha African Youth Football Tournament

KAMPUNI ya Tanzania Mwandi kwa kutambua kuwa Tanzania na Afrika nzima kuna vijana wengi ambao wana vipaji vya mpira wa miguu na hivyo wanachohitaji ni kuonyeshwa tu jinsi ya kuufikia ‘Ulimwengu Halisi’ wa Mpira duniani Tanzania Mwandi imeamua kuanzisha michuano ya African Youth Football Tournament ambayo itawashirikisha vijana wenye umri kati ya miaka 18 hadi 21. Michuano hiyo itaambatana na …

Bondia Albert Mensah Kupata ‘Wakati’ Mgumu

BONDIA wa IBF aliye na kiwango cha namba 11 duniani katika uzito Jr. Welter, Albert Mensah wa Ghana atakuwa kwenye wakati mgumu atakapombana na bondia mkongwe ulingoni na asiye na huruma na ngumi zake Mghana Ben Odamettey katika mpambano wao wa kugombea mkanda wa “IBF Africa uzito wa jr. Welter”. Pambano hili linalowafanya Waghana wengi kuwa na roho juu juu …

Issah Samir na Philip Kotey Kupigania Ubingwa Middle Weight

NCHI ya Ghana iko katika hekaheka na bashasha za mapambano kadhaa ya ngumi mwezi wa Machi 30 wakati ubingwa maarufu wa middle weight utakapo gombaniwa na mabondia Issah Samir na Philip Kotey. Wawili hawa ni maarufu sana katika tasnia ya ngumi nchini Ghana na barani Afrika kwa ujumla. Watakutana wakati wanapogombea mkanda wa IBF AMEPG uzito wa middle. Musiki wa …