Richards Commey Kuwania ubigwa wa Dunia Uzito mwepesi April 28, 2013

RICHARDS Commey amedhihirisha uwezo wake wa upigana ngumi wakati alipomtoa kwa TKO bondia Bilal Mohammed na kutangazwa kuwa Mfalme wa uzito mwepesi katika bara la Afrika. Mpambano huo ulifanyika katika ukumbi wa Wills Gym City Engineers katika viunga vya Jamestwon, jijini Accra, Ghana na kuhudhuriwa na wapenzi wengi wa ngumi wakiongozwa na viongozi waandamizi wa Chama cha Ngumi cha Ghana …

Miss Utalii Vipaji Ndani Dar Live

SHINDANO la Taifa la Miss Utalii Vipaji 2012/13 linafanyika kesho katika ukumbi wa Dar Live Mbagala, ambapo Warembo 40 kutoka Tanzania Bara, Zanzibar na Kanda Maalum vyuo Vikuu Tanzania, watapanda stejini kushindana kucheza Ngoma za asili kutoka Mikoa ambayo wanawakirisha, watapita na mavazi mbalimbali. Katika shindano hilo mbali na Burudani kutoka kwa Warembo wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutakuwa na …

Tambo Zaendelea Mpambano wa Ngumi Ubingwa wa Afrika

MABONDIA wawili wanaotarajia kuzipiga Machi 8, 2013 kugombea ubingwa wa Afrika katika uzito wa Lightweight, Richard Commey na Bilal Muhammed wamekutana leo katika zoezi la kupima uzito na nusura wazipige kavukavu kama wasingeachanishwa na wasimamiszi wa mpambano huo. Richad ndiye aliyekuwa wa kwanza kuwasili katika eneo la kupima uzito ambalo ni hoteli maarufu ya Coco Grove Regency iliyoko karibu na …

Mabingwa wa Michezo Tofauti Kuzipiga Tanga

BINGWA wa Kickboxing, Hamis Mwakinyo atazipiga na Bingwa wa Taifa wa Ngumi za Kulipwa nchini uzito wa ‘light weight kg 60’, Said Mundi wa Tanga katika pambano la raundi nane. Pia pambano la kusindikiza ubingwa wa mabara wa WBF kati ya Alan Kamote na Jumanne Mohamed litakalopigwa katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga tarehe 17 mwezi huu. Hamis Mwakinyo ambae …

Maadhimisho ya Women’s Celebration 2013

                                                      Maonesho ya mavazi ya Vitenge                             Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women’s Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, march 3,2013. MITINDO YA NYWELE       …