Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Akutana na Kamati ya Maandili ya Miss Utalii

Kamati ya Maandalizi ya Miss Utalii Tanzania ikiongozwa na Rais wa Mashindano hayo Ndugu Erasto G. Chipungahelo Tarehe 12.03.2013 katika ofisi yake iliyopo Kinondoni Manispaa Jijini Dar es salaam Akiwa ameambatana na Baadhi ya Viongozi wa Kamati hiyo Adam Chipungahelo ambaye ni Mratibu wa Matukio Miss Utalii Tanzania na Bwana Fredy Njeje ambaye ni Meneja wa Masoko na mahusiano Miss …

Uchaguzi TAFCA Kufanyika Morogoro

UCHAGUZI wa viongozi wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) utafanyika Jumamosi (Machi 16 mwaka huu) mjini Dodoma ambapo wajumbe wanatakiwa kuripoti siku moja kabla ya uchaguzi. Wagombea waliopitishwa kuwania uongozi na Kamati ya Uchaguzi ya TAFCA chini ya uenyekiti wa Ramadhan Mambosasa ni Oscar Don Koroso (Mwenyekiti), Lister Manyara (Makamu Mwenyekiti) na Katibu (Michael Bundala). Wengine …

Mwandi Yawahimiza Wachezaji wa Ligi Kuu Kuchangamkia Fursa

WACHEZAJI wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara na Zanzibar wenye umri kati ya miaka 18 na 21 wametakiwa kuchangamkia fursa ya kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa Barani Ulaya, Asia na Afrika wakiwa nyumbani Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Mwandi, Teonas Aswile, waandaaji wa Michuano ya African Youth Football Tournament amesema kuwa …

Manyara Yashinda Tuzo ya Vipaji Miss Utalii 2013

HATIMAYE Mshiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 kupitia Mkoa wa Manyara ameshinda tuzo ya vipaji 2012/13 na kuibwaga mikoa mingine 29 ya Tanzania Bara na Zanzibar. Mrembo Miss Mary (19) alionesha kipaji cha hali ya juu katika ushindani ambao ulikuwa mkubwa hasa kutoka kwa warembo wa mikoa ya Lindi, Kagera, Dodoma, Zanzibar na Katavi. Hata hivyo, mchuano ulikuwa mkali zaidi …

Mechi ya Yanga na Toto Yaingiza 42,508,000/-

WATAZAMAJI 7,412 wameshuhudia pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Toto Africans lililochezwa jana (Machi 9 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kuingiza sh. 42,508,000. Mechi hiyo namba 135 iliyochezeshwa na Andrew Shamba kutoka mkoani Pwani ilimalizika kwa Yanga ambao wanaongoza VPL wakiwa na pointi 45 kuibuka na ushindi wa bao 1-0. Viingilio …

Ebrahim Makunja: The Leader of Ngoma Africa Band

THE Tanzania brandfire musician, bandleader and founder of most famous “Ngoma Africa band, Base in Germany, Ebrahim Makunja also commonly known as Kamanda Ras Makunja (FFU), aka Field-Mashall of FFU,aka King of Anunnaki Empire, former Dar City Rudeboy Born in Dar-es-salaam, Tanzania. His father was government servent known as Jumanne Saleh Makunja and mother Moza Hassan. Ras Makunja is brilliant …