Jefrey Mathebula na Takalani Ndlovu Kuwania Ubingwa wa Unyoya

MABONDIA wa Afrika ya Kusini Jeffrey Mathebula na Takalani Ndlovu watakutana katika ukumbi wa Carnival City Casino jijini Johannesburg jimbo la Gauteng nchini Afrika ya Kusini katika pambano la mchujo (Elimination Title) la ubingwa wa dunia uzito wa unyoya (Featherweight). Wawili hawa ni mahasimu wakubwa wanaojulikana nchini Afrika ya Kusini na walishakutana mara mbili ambapo Ndlovu alishhinda pambano la awali …

Mabadiliko ya Semina Elekezi Copa Coca Cola

SEMINA elekezi kwa ajili ya michuano ya Copa Coca-Cola 2013 iliyokuwa ifanyike Jumanne (Machi 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam sasa imesogezwa mbele hadi Machi 26 mwaka huu. Uamuzi wa kusogeza mbele semina hiyo umetokana na maombi ya wadhamini, Coca-Cola ambao katika tarehe ya awali watakuwa na shughuli nyingine za kampuni hiyo. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) …

Juma Fundi Kikipiga March 17 CCM Tandale

BONDIA Juma Fundi anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na Hassani Mandula katika mpambano wenye upinzani wa ali ya juu utakaofanyika jumapili ya March 17 katika ukumbi wa CCM Tandale jijini Dar es salaam Akizungumzia maandalizi ya mpambano huo mratibu wa mpambano huo Dikumbwaya Stamili amesema maandalizi yote yako sawa ikiwemo makubaliano ya mabondia kupanda ulingoni siku hiyo aliongeza kuwa mabondia wote …

Washiriki Miss Utalii 2012/13 Watembelea Chuo Kikuu cha Uandishi

WASHIRIKI wa Shindano la Miss Utalii 2012/13 wametakiwa kutumia elimu zao kutangaza utalii wa Tanzania jambo ambalo litakuwa na manufaa kwao na Taifa kwa jumla. Ushauri huo umetolewa na Mratibu wa Masoko wa Chuo Kikuu cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma, Bi. Sophia Ndibalema alipokuwa akizungumza na washiriki hao walipotembelea Chuo hicho jijini Dar es Salaam. Mratibu wa …