The Guinness Football Challenge Kuanza Wiki Hii

*KIPINDI CHA KWANZA CHA MCHEZO HUU WA KUSISIMUA WAANZA TAREHE 20 MWEZI HUU* WAKATI umewadia tena wa kushuhudia mapambano katika kipindi ukipendacho cha Televisheni na kinachotambulika kama, “The GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™”, ambacho kinarudi kwenye runinga yako wiki hii kuanzia Machi 20, 2013. Mwaka huu watazamaji watapata nafasi ya kuangalia mchuano huu wa kipindi hiki katika televisheni mbili ikiwemo televisheni ya …

IBF Yaleta Hamasa Namibia

Mpambano wa kutafuta Mfalme wa uzito wa Bantam wa Kimataifa (IBF International Bantamweight Title) kati ya mabondia Immaneul Naidjala a.ka. Prince kutoka nchini Namibia and bondia mwenzake Lesley Sekotswe kutoka nchini Botswana umeanza kuleta hamasha kubwa katika nchi hii yenye wakazi wapatao milioni mbili. Mabondia wote wawili walikutana kwa mara nyingine tena leo katika ofisi za Bodi ya Mieleka na …

Uongozi wa Simba Watuma Barua TFF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea barua kutoka uongozi wa Simba ikielezea kutotambua mkutano ulioandaliwa na wanaodaiwa kuwa wanachama wake na kufanyika jana ukumbi wa Starlight, Dar es Salaam. Vilevile katika barua hiyo uongozi wa Simba umeahidi kuitisha mkutano wa wanachama wake. Mkutano huo utaitishwa na Mwenyekiti wa Simba kwa mujibu wa katiba ya klabu hiyo. Kutokana na …

TFF Yaipongeza AZAM FC

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaipongeza klabu ya Azam kwa ushindi wa mabao 2-1 ilioupata timu yake katika mechi ya raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho. Mechi hiyo dhidi ya Barrack Young Controllers II ilichezwa jana jijini Monrovia, na timu hizo zitarudiana wikiendi ya Aprili 6 au 7 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini …

Washiriki wa Shindano la Moro Carnival ‘Wawasha’ Moto Sabasaba

 Kijana Mafuvu akionyesha umahili wake wa kucheza katika Shindano la Moro Carnival ambalo lilikuwa likiwapambanisha vijana wa mji wa Morogoro kuonyesha vipaji vyao mbali mbali. Shindano hilo lililofanyika katika uwanja wa Sabasaba mjini Morogoro, Moro Carnival lengo lake ni kuvumbua vipaji wa kuwashindanisha na kuviendeleza vipaji kwa vijana wa mji wa Morogoro. Vipaji vilivyokuwa vikitafutwa ni vya kudansi, kuimba, wasanii …

Wadhamini Miss Utalii Wakwamisha Shindano

FAINALI za Taifa za Mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13, zilizopangwa kufanyika Machi 17, 2013 katika Ukumbi wa Dar Live Dar es Salaam, zimesogezwa mbele hadi Machi 30 katika ukumbi utakao tangazwa hapo badae baada ya wadhamini kushindwa kutimiza ahadi zao kwa muda. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Rais wa Mashindano hayo nchini na Barani Afrika, Erasto …