Bondia Kido Amtaka Tena Mchumiatumbo

BONDIA mbavu nene Ramadhan Kido anataka tena kuzichapa na mwenzake Alphonce Mchumiatumbo warudiane baada ya pambano lao la mwanzo lilofanyika uwanja taifa kuchapwa amepania kulipa kisasi. ”Mchumiatumbo amenifanya nimeshindwa kulala kwa muda mrefu nikimfikiria yeye kanipigaje…jibu sipati, nimeamua kurudi tena ulingoni kwa kujipima na Musa Mbabe Aprili 7, 201 CCM Mwinjuma, Mwananyamala Dar es Salaam.” Alisema. Alisema anatambua kuwa Musa …

Mabondia Mkwela na Ndula Kuoneshana Ubabe Pasaka

BONDIA Iddy Mkwela wa Dar es Salaam anatarajia kuoneshana kazi ya kurushiana makonde na Lucas Ndula wa Muheza wakati wa kusherekea Sikukuu za Pasaka, Jumapili ya Machi 31, katika viwanja vya wazi vya Jitegemee vilivyopo wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga Akizungumza na mwandishi wa habari hizi mratibu wa mpambano huo wa raundi 6 kg,60 bondia wa siku nyingi ambae …

Website ya Ngoma Africa Band ‘FFU’ Yaanza Kurusha Muziki Hewani

WEBSITE www.ngoma-africa.com ya Ngoma Africa Band au maarufu kama ‘FFU’ imeanza tena kurusha muziki hewani, baada ya marekebisho machache yanayoendelea kufanywa ili kubadili sura ya mtandao huo. Tuvoti hiyo ilisimamisha kurusha muziki hewani kwa muda wa siku nzima hivi karibuni na sasa inarusha tena muziki hewani na hivyo wapenzi wake wanaweza kuendelea kupata burudani kamili kwa kusikiliza nyimbo a.k.a (Virungu …

Bondia Herbert Quartey na Albinus Felesianu Kuzichapa Machi 29

MABONDIA kinda Herbert Quartey kutoka Ghana na Albinus Felesianu wa Namibia wanatarajia kuwania Ubingwa wa dunia kwa vijana katika uzito wa Super Feather watakapokutana Machi 29, mwaka huu jijini Windhoek, Namibia. Huu ni mpambano ambao utawakutanisha kinda wawili ambao wana usongo wa kuendeleza rekodi ya ngumi utakaowafungulia mlango kwenye ubingwa wa watu wazima. Hii inakuja katika kipindi kisichozidi wili mbili …

Timu Nne Zaingia Hatua Ya Pili Guinness Football Challenge

*TIMU NNE SASA ZAINGIA KWENYE KIPINDI CHA PILI WIKI IJAYO* TAREHE 20, Machi katika kipindi cha televisheni cha GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE kinachorushwa na vituo vya televisheni vya ITV na Clouds TV kila Jumatano ikiwa ni Sehemu ya pili kati ya mfululizo vipindi hivyo halisia, Watanzania Daniel Msekwa na Mwalimu Akida Hamad walionyesha namna ambavyo mtu hapaswi kukata tamaa baada ya …