Mshindi wa Pambano la Omar na Madilu Kucheza Uphilipino

MSHINDI kati ya mabondia ya Issa Omar (peche boy) na Shaban Madilu wanaotarajia kucheza Aprili 7 jijini Dar es Salaam, ambaye pia atatawazwa kuwa Bingwa mpya wa Universal Boxing Organization uzito wa light fly amepata shavu la kwenda kucheza nchini ufilipino. Bingwa huyo anatarajiwa kupambana na bondia Lienel Legada ambaye ni Bingwa wa uzito huo nchini Ufilipino, mchezo utakaopigwa Mai …

Albinus Mfalme Mpya wa Uzito wa Dunia wa Unyoya

ALBINUS Felesianu wa Namibia ameudhihirishia ulimwengu kuwa yeye kweli ndiye Mfalme wa uzito wa unyoya duniani kwa vijana baada ya kumgalagaza bondia Herbert Quartey wa Ghana katika mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Windhoek Country Club Resort and Casino tarehe 29, March 2013. Umati wa watu wasiopungua elfu 20 walijazana katika ukumbi huo wa burudani wakimshangilia kwa nderemo na vifijo …

Warembo Fainali za Miss Utalii Tanzania Washindania Tuzo

FAINALI za Utalii Tanzania zimeendelea kushika kasi kwa warembo kushindania Tuzo mbalimbali za Utalii, Utamaduni, Jamii na za Kuichumi. Jana lilifanyika Shindano la kumpata Mshindi wa Tuzo ya Habari (Media Award), Shindano ambalo liloifanyika katika Viunga vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Shule kuu ya uandishi wa Habari na Mawasiliano ya umma (SJMC) ambao ni wadhamini wakuu wa Tuzo …

Bigright Promotion na Mikakati ya Kukuza Bondia

KAMPUNI changa ya Bigright Promotion inaanzisha mkakati wa kuwapiganisha mabondia kuwania mikanda au kutetea mikanda yao isipotee. Taarifa hiyo imetolewa na Ibrahim Kamwe ambaye ni kiongozi wa kampuni hiyo. Kiongozi huyo alisema wataanza kuandaa ubingwa wa mapambano ya uzito mdogo yaani light fly weight, baadae kuandaa fly weight na super fly, bantam na heavy weight. “Hii itawasaidia mabondia kupata mapambano …

Kenya Yapigania Nafasi ya Ushindi Mashindano ya Guinness Football Challenge

*Timu nne zaingia kwenye kipindi cha tatu wiki ijayo MACHI 28, 2013, Dar es Salaam; Jana usiku kupitia Televisheni za ITV na Clouds TV mashindano ya GUINNESSĀ® FOOTBALL CHALLENGEā„¢ yalituonesha ni kwanini ushirikiano ni muhimu kwa washiriki kuonyesha ujuzi wao. Francis Ngigi and Kepha Kimani kutoka Kenya walifanikiwa kuingia hatua ya mwisho na kujipatia fedha za kimarekani dola 3,000 shukrani …