TIMU ya mpira wa miguu ya wana – Bloggers imeibuka kidedea baada ya kuifunga bila huruma mabao 5-4 timu ya mpira wa miguu ya Chuo cha Uandishi wa Habari cha DSJ cha jijini Dar es Salaam. Bloggers United ndiyo waliokuwa wa kwanza kufungua kitabu cha mabao katika dakika za mwazo tu za mchezo, ambapo mpaka timu zinakwenda mapumziko Bloggers walikuwa …
‘FFU’ wa Ngoma Africa Band Watoka Kambini
INASEMEKANA kikosi kazi cha Ngoma Africa Band a.k.a FFU ughaibuni, a.k.a wazee wa bongo tambarare ukipenda “Watoto wa Mbwa” chini ya Kamanda Ras Makunja ‘Field-Marshal/King of Anunnaki Empire (pichani)’, wameshatoka kambini na wapo tayari kwa gwaride la mashambulizi. Kundi hilo linalotamba kwenye majukwaa ya kimataifa, pia inasemekana Kamanda wao amepandishwa cheo kama anavyoonekana pichani sasa katika gwanda! Katika kambi yao …
Mabondia Issa Omar na Shaban Madilu Kupima Uzito Jumamosi
MABONDIA Issa Omar na Shaban Madilu ambao wanatarajia kucheza pambano lao la raundi 10 Ubingwa wa UBO International, wakisindikizwa na wakongwe wa masumbwi nchini Joseph Marwa atakaezipiga na Amour Mzungu wanatarajia kupima afya zao pamoja na uzito siku ya Jumamosi tayari kwa mpambano huo. Mabondia wote hao na wa uzito wa juu Ramadhan Kido na Musa Mbabe wanategemea kupima afya …
Timu ya Pili Kutoka Kenya Yatinga Fainali za Pan-African
KATIKA sehemu ya tatu jana (Aprili 3, 2013) usiku kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, mashindano ya Guinness Football Challenge yalionesha ni jinsi gani utulivu unavyosaidia katika mashindano, ambapo timu kutoka Kenya ilifanikiwa kuzitoa timu nyingine za Tanzania, Uganda na timu nyingine kutoka Kenya. Kenneth Kamau na Wills Ogutu walishinda katika mikwaju ya penati na kufikia hatua ya mwisho …
Listen to Ngoma Africa Band Music 2013
Ladies and Gentlemen You’r busy.You haven’t got time to listen to every note of every song that comes across your desk.That why we’ve made it easy for you to enjoy a few-minute of some of our best songs at www.ngoma-africa.com. That all takes.Few minutes.And you’re done. If you like what you hear,please contact Us for our full-length CDs… Or you …
Nne Zaingia Hatua ya Tatu Guinness Football Challenge Wiki Hii
JUMATATU iliyopita (Machi 28, 2013) kupitia televisheni za ITV na Clouds TV mashindano ya GUINNESSĀ® FOOTBALL CHALLENGEā¢ yalituonesha ni kwanini ushirikiano ni muhimu kwa washiriki kuonyesha ujuzi wao. Francis Ngigi and Kepha Kimani kutoka Kenya walifanikiwa kuingia hatua ya mwisho na kujipatia fedha za kimarekani dola 3,000 shukrani kwa vipaji vyao na ushirikiano mzuri. Francis na Kepha wana nafasi ya …