AIRTEL Tanzania imeendeleza ahadi yake ya kuzunguka nchi nzima kutoa elimu kwa wateja wake na watanzania kwa ujumla ili kuifahamu huduma yao ya AIRTEL YATOSHA pamoja na faida zake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando alisema; “tunawashukuru sana watanzania wote waliojitokeza Coco beach nakujiunga na huduma yetu nafuu ya Airtel yatosha, wote wameikubali na …
Guinness Welcomes Hollywood’s Biggest Star Tom Cruise
GUINNESS WELCOMES HOLLYWOOD’S BIGGEST STAR TOM CRUISE CRUISE ENJOYS A GUINNESS AHEAD OF PREMIER OF ‘OBLIVION’ GUINNESS rolled out the red carpet to welcome one of the world’s most famous actors, Tom Cruise at the GUINNESS STOREHOUSE in Dublin, Ireland. Cruise, joins other global stars such as American President Barrack Obama who has been seen enjoying a GUINNESS on numerous …
Kambi ya Masumbwi Yahamia Chalinze
DIWANI wa Kata ya Bwilingu Chalinze Bagamoyo,Ahmed Karama Nassar amesema yupo tayali kushirikiana na wadau mbalimbali ili kufanikisha ujenzi wa Ukumbi maalumu wa mchezo wa masumbwi Chalinze. Nassar aliyasema hayo mwishoni mwa wiki katika mapambano ya ngumi yaliyopigwa katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala. “Natarajia kufikisha mbali mchezo huu kwa kuwa mmenishawishi kuupenda mchezo wa masumbwi mchezo unaopendwa na wengi …
Nani Kuibuka Mshindi Jumatano Hii Guinness Football Challenge
JUMATANO iliyopita kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, mashindano ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ yaliendelea huku kila timu ikionesha ni jinsi gani utulivu unavyosaidia katika mashindano hayo. Timu ya Kenya ilifanikiwa kuzitoa timu nyingine za Tanzania, Uganda na timu nyingine kutoka Kenya. Kenneth Kamau na Wills Ogutu walishinda katika mikwaju ya penati na kufikia hatua ya mwisho katika ukuta wa …
Ziara ya Rais wa IBF Katika Bara la Afrika
ZIARA ya Rais wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati Mtanzania Onesmo Ngowi, imeiweka nchi ya Botswana mahali pazuri kwa kuiingiza kwenye kundi la nchi nane (8) za Afrika zitakazofaidika na programu ya “IBF ya Utalii wa Michezo”. Akiongea kwenye mkutano wa waandishi wa habari pamoja na wadau wa michezo alipokuwa anahitimisha ziara yake …