APRILI 10, 2013, Dar es Salaam; Katika sehemu ya nne jana usiku kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, mashindano ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ yalikuwa na ushindani mkubwa lakini washiriki kutoka Kenya Enphatus Nyambura na Samuel Papa waliweza kumudu vishindo na kufanikiwa kuwa timu ya tatu kutoka Kenya kuingia katika hatua ya Pan- Africa. Katika kipindi hiki cha nne washiriki …
King Kapita Atoa Video ya ‘Kunatatizo Kwani’
MSANII King Kapita amebainisha kuwa tayari ametoa
Guinness Football Challenge; Kenya Wazidi Kufanya Vema
Aprili 10, 2013, Dar es Salaam; Katika sehemu ya nne jana usiku kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, mashindano ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ yalikuwa na ushindani mkubwa lakini washiriki kutoka Kenya Enphatus Nyambura na Samuel Papa waliweza kumudu vishindo na kufanikiwa kuwa timu ya tatu kutoka Kenya kuingia katika hatua ya Pan- Africa. Katika kipindi hiki cha nne washiriki …
Washiriki 14 Watinga Kambi ya Miss Utalii 2012/2013
KAMBI Mpya ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 imeanza kwa kasi mpya Baada ya washiriki Kumi na nne kupata Tuzo za Utalii Tanzania. Mchakato wa kutoa tuzo hizo mbalimbali ikiwemo za Utalii ulianzia Dar Live Mbagala Dar es Salaam ambapo alipatikana Mshindi wa Tuzo ya Vipaji (Tallent Award) alichukua Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka mkoa wa Manyara, Baada ya hapo alipatikana …
Washiriki Miss Utalii Waendelea na Ziara ya Kutembelea Hifadhi za Taifa
WASHIRIKI wa Miss Utalii Tanzania ivi wako katika ziara ya kutembelea hifadhi za Taifa za Utalii ikiwa ni katika kujifunza vitu mbalimbali kuelekea Fainali Kuu ya Taifa ambayo itapangwa muda mfupi hapo baadaye baada ya warembo hao kumaliza ziara yao ya kutembelea hifadhi anuai za taifa. Hadi sasa washiriki wametembelea hifadhi za Taifa za Saadan ambako walijionea Utalii mbalimbali ikiwa …