Semina Kubwa ya Mchezo wa Karate Yaanza Jijini Dar
Anafundisha kwa mifano! Shihan Okuma akishambuliwa na Jerome Sensei kama sehemu ya maelekezo katika semina hiyo Na Daniel Mbega SEMINA kubwa ya Shotokan Karate kwa nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini, imeanza leo hii jijini Dar es Salaam ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya mchezo huo nchini Tanzania, inaongozwa na mkufunzi mkuu, Shihan Koichiro Okuma (6th Dan), kutoka makao makuu …
Hizi ni Sababu 13 Zinazowafelisha Wanamuziki wa Kike Bongo
1. Huwa hawajiamini 2. Wanapenda kutafuniwa yaani hawapendi kufanya kazi za kuchafuka kama za kufuatilia mambo yao wanataka aje mtu awafanyie 3. Siyo washindani ni rahisi kupanic na kukata tamaa 4. Wanapenda kufanya mambo mengi ambayo siyo ya lazima ili wafikie malengo 5. Wanapenda kuchukulia muziki ni kitu rahisi tu kwamba wao wanaweza kaa tu kama malkia wa siafu akaletewa …
Mzee Yusuf ‘Aokoka’ Atangaza Kuacha Taarab…!
MFALME wa muziki wa taarab, Mzee Yusuf ametangaza kuachana rasmi na muziki huo na kuamua kumrudia mwenyezi Mungu. Mzee Yusuf ametoa kauli hiyo leo Ijumaa ya Agosti 12, 2016 ikiwa ni muda mfupi baada ya kumaliza swala ya Ijumaa katika msikiti wa Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam (Masjid Taqwa) huku akibubujikwa na machozi mengi. Mzee Yusuf ameomba waumini wamuombee …
Ali Kiba Kupamba Shamrashamra za Tamasha Startimes Kiswahili
Mkurugenzi Msaidizi wa Masoko na Maudhui wa StarTimes Tanzania, Bw. Damien Li (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamasha la kusherehekea miaka miwili ya chaneli ya Kiswahili ya StarTimes litakalofanyika siku ya Jumamosi Agosti 13, 2016 kwenye viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Kushoto ni msanii Ali Kiba ambaye atakuwepo …
Mkurugenzi Ahamasisha Udhamini Mashindano ya Urembo Bila Ubaguzi
Na Benedict Liwenga-WHUSM. WADAU wanaojishughulisha na masuala ya Sanaa nchini wamehamishwa kujitokeza kwa wingi katika kusaidia maendeleo ya Sanaa kwa kudhamini na kufadhili mashindano ya urembo bila kubagua. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Francis Songoro wakati alipokuwa akiwasilisha …