Na Mwandishi Wetu MASHINDANO ya Klabu Bingwa ya Mkoa wa Temeke yameanza jana jijini, Dar es Salaam huku yakishirikisha timu 20 na yanatarajiwa kufikia tamati Aprili 19 mwaka huu. Lengo la mashindano hayo yaliyoanza jana ni kuinua vipaji vya mabondia chipukizi na kupata vipaji bora watakaokuwa chachu ya maendeleo ya mchezo nchini. Kocha wa kimataifa wa mchezo huo nchini …
Onesmo Ngowi Kuongoza Ujumbe Mzito Mkutano wa Shirikisho la Ngumi Kimataifa, Ujerumani
MTANZANIA, Onesmo Ngowi ambaye ni Rais wa Shirikisho la Ngumi la Kimataifa Bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati, ataongoza ujumbe mzito kutoka Bara la Afrika na Ghuba ya Uajemi kwenye Mkutano wa 30 wa Shirikisho la Ngumi la Kimataifa na Chama Cha Ngumi Cha Marekani (IBF/USBA). Mkutano huo utafanyika katika hotel ya nyota tano ya Concorde …
Bi. Kidude Afariki Dunia, Wajua Historia Yake?
Na Mwandishi Wetu, TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba msanii maarufu na nguli nchini Tanzania Bara na Visiwani, Fatuma binti Baraka au maarufu kwa jina la Bi. Kidude amefariki dunia leo majira ya saa 4 asubuhi nyumbani kwa mtoto wa kaka yake maeneo ya Bububu leo mjini Zanzibar. Bi. Kidude ambaye amekuwa akiugua kwa muda mrefu sasa huku mara …
SHIWATA Yaandaa Maonesho Kukuza Vipaji Vya Wasanii
SHIWATA imeandaa maonesho maalum kila mwezi ili kutoa nafasi kwa wasanii wa fani mbalimbali pamoja na wanamichezo kuonesha vipaji vyao. Wasanii wengi chipukizi wanakosa mahali pa kuonesha kazi zao, mara nyingi kazi za wasanii wakubwa ndizo ambazo hurushwa katika redio na luninga (TV). SHIWATA imeamua kuandaa maonesho haya kwa malengo makuu yafuatayo (1) Kukuza vipaji (2) Kuwapatia soko (underground) mahali …
Mabondia Ghana Kuwasha ‘Moto’ Mei 3
NCHI ya Ghana ambayo ni moja ya nchi zenye vipaji vingi vya wanamichezo mahiri na majina makubwa hususan mchezo wa ngumi, itawaka moto Mei 3, 2013 wakati mabondia mahiri sita watakapo chapana kugombea mataji ya IBF katika ubingwa mbalimbali. Bondia atakayeanza kupanda ulingoni kufukisha moto huo ni “Mtoto wa Kijiweni” Albert Mensah ambaye amejizolea sifa kemkem za kupambana na mabondia …
Timu Nne Mpya Kuingia Hatua ya Mwisho Mashindano ya Guinness Football Challenge
JUMATANO iliyopita katika sehemu ya nne kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, mashindano ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ yalikuwa na ushindani mkubwa lakini washiriki kutoka Kenya Enphatus Nyambura na Samuel Papa waliweza kumudu vishindo na kufanikiwa kuwa timu ya tatu kutoka Kenya kuingia katika hatua ya Pan- Africa, baada ya kuwapiga chini timu za Tanzania na Uganda. Katika kipindi hiki …