Mapambano Kuhamasisha Ngumi Chalinze Yafanyika

Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya mashabiki 300 wamejitokeza kuangalia mpambano wa Masumbwi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa ngumi Chalinze Mkoa wa Pwani pamoja na vitongoji vyake mashindano hayo ya masumbwi yaliyoandaliwa maalumu kuhamasisha mchezo uho katika vitongoji maarufu. Mpambano huo uliwakutanisha mabondia wa Dar es Salaam na Chalinze na mabondia wanaotamba katika kitongoji hicho mpambano huo wa masumbwi ulioanza …

Wasanii Chipukizi 300 Kushiriki Maonesho ya Kukuza Vipaji

WASANII chipukizi 300 kutoka vikundi 15 jijini Dar es Salaam wamejitokeza kushiriki maonesho ya kukuza vipaji yaliyoandaliwa na Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Jumamosi ya Aprili 27 katika ukumbi wa hoteli ya StarLight, Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Vikundi ambavyo vimethibitisha kushiriki pamoja na Kaole Sanaa Group, Splendid, Uyoga Boga na vingine katika fani ya Bongo Flava, Taarab, Maigizo, Ngoma, …

IBF Wateuwa Majaji na Mwamuzi wa Mpambano wa Cheka na Mashali

SHIRIKISHO la Ngumi la Kimataifa (IBF) limeteua refarii na majaji wa pambano la kutetea ubingwa wa Afrika kati ya anayeushikilia ubingwa huo Francis Cheka wa Tanzania na mpinzani wake Thomas Mashali ambaye ni bingwa wa uzito wa Middle ukanda wa Afrika ya Mashariki na Kati (ECAPBA). Refarii wa mpambano huo wa kukata na shoka atakuwa ni John Shipanuka kutoka nchini …

Mabondia Juma, Kibuga na Kaoneka Kuhamasisha Ngumi Chalinze

MABONDIA Mwaite Juma, Cosmas Kibuga na Shabani Kaoneka ni baadhi ya mabondia wa Dar es Salaam watakaokwenda Chalinze kuhamasisha ngumi za kulipwa wilayani humo kwa kuzipiga na mabondia wakali wa Chalinze. Kampuni inayoandaa mapambano kwa ajili ya kunyanyua vipaji vya mabondia machipukizi ya Bigright Promotion, imaeandaa pambano hilo ili kutanua wigo wa michezo nchini kwa kuanzia kutembelea wilaya zinazohamasika kimchezo ikiwemo chalinze. …

Ngoma Africa Band Watuma Rambirambi Msiba wa Bi. Kidude, Wasitisha Shughuli za Muziki Siku 10..!

BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa Band” imepokea kwa hudhuni na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha mwanamuziki mkongwe barani Afrika hayati Bibi Fatuma binti Baraka (Bi.KIDUDE) na kutaka mwenyezi Mungu amrehemu. Ngoma Africa band inatoa mkono wa pole na rambirambi kwa familia ya marehemu Bi.Kidude, pia kwa Watanzania wote walioguswa na msiba huo, hasa wanamuziki …