*Washiriki bora kutoka Afrika kuingia robo fainali ya pili kuwania kufuzu nusu fainali ROBO fainali ya kwanza ya Pan-African GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ ilifanyika jana usiku ambapo mashabiki wa Afrika masharik i walikuwa wakishangilia timu za nchi zao. Washiriki mahiri kutoka Cameroon, Ghana, Kenya, Uganda na Tanzania walikutana uso kwa uso ili kushindania dola za kimarekani 250,000 na kutwaa ubigwa wa …
International Boxing Federation Africa (IBF/AFICA)
WEDNESDAY 25, 2013 – Dar es Salaam- Ghana, one of the boxing powerhouses in African continent is edging towards three biggest IBF tournaments next week on May 3rd, 2013 at the Accra Sports Arena in Ghana. GoldeMike Boxing Promotion Syndicate is at it again and this time Ghanaian boxing stakeholders and the whole of West Africa region will enjoy …
Wadhamini Miss Utalii Tanzania 2012/13 Wawekwa Hadharani
KAMBI ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 imeanza upya huku wadau kadhaa, asasi za Serikali, taasisi mbalimbali, makampuni pamoja na watu anuai kujitokeza kudhamini fainali hizo za Miss Utalii Tanzania ambazo zinatarajia kufanyika mwanzoni mwa mwezi ujao. Walio jitokeza Kudhamini ni pamoja na TANAPA, Ngorongoro Crater, Tanzania Tourist Board, Mtwana Catering, Ikondolelo Lodge Hotel, Sahara Media Group, Mbasha Entertainment, Sophia …
Bondia ‘Star Boy’ Ajifua Kumkabili Jibaba
Na Mwandishi Wetu BONDIA Shabani Mhamila ‘Star Boy’ anaendelea kujifua kwa ajili ya kumkabili Yusuf Jibaba katika pambano la utangulizi wakati wa mchezo wa kati ya Francis Cheka na Thomas Mashali. Pambono la raundi nne linatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es Salaam Mei Mosi mwaka huu, linatarajiwa kuwa la vuta nikuvute kutokana na kila mmoja kujigamba kujiandaa vema. …
Nani Kuwa Bingwa wa Pan – African Guinnes Football Challenge?
MASHINDANO makubwa na mazuri ya GUINNESS® FOOTBALL™ CHALLENGE yamekuwa yakiwasisimua na kuwafurahisha watazamaji wake kwa wiki tano zilizopita.Sasa mashindano ya Pan-African yataanza kuoneshwa katika televisheni za ITV na Clouds TV kuanzia kesho tarehe 24 April, 2013 saa 3:15 ITV na 2:15 Clouds TV. Sasa timu kutoka Cameroon, Ghana, Uganda, Kenya na Tanzania zitakutana uso kwa uso kushindana ili kujua ni …
Kutoka Uswahilini Hadi Ughaibuni!
Sensei Rumadha Fundi (Romi) mtaalam wa ngazi za juu wa karate na Yoga TUNAPOZUNGUMZIA Watanzania waliozaliwa na vipaji na kufanikiwa kuvipigania na kuviendeleza hadi kufikia kiwango cha kimataifa jina la Sensei Rumadha Fundi a.k.a Romi huwezi kulikwepa. Huyu ni Mtanzania mwenye makazi yake nchini Marekani, kabla ya kujikita nchini Marekani alikuwa mmoja wa wanafunzi wa karate pale Zanakaki, jijini Dar …