Verse1; Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa Kipaji Mali yako, Elimu Ngao yako Usiache jambo Kati kwenye maisha yako Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray Mi Nakuasa it’s your time, Huwezi kuwa chini you’ve got somethin’ special Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto Trust me iko siku utatimiza …
Lady Jay Dee Kuzindua ‘Album’ ya Sita, Atimiza Miaka 13 ya Muziki
MSANII maarufu nchini Tanzania, Lady Jay Dee anatarajia kuzinduzi wa album yakie ya sita inayokwenda kwa jina la NOTHING BUT THE TRUTH ambayo ina jumla ya nyimbo 10. Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari msaanii huyo mwenye mafanikio lukuki amesema uzinduzi wa album hiyo utakwenda sambamba na sherehe za yeye kutimiza miaka 13 katika tasnia ya muziki. “…Mwaka huu …
‘After Fighting Against Racial Discrimination, Now it is Fighting for Peace in Africa’
WHEN it was formed in 1963, after the few African countries gained independence from the colonial powers, the Organization of African Unity now African Union or AU was hosted at Addis Ababa, the capital city of Ethiopia, under the country’s then monarch King Haile Selassie. This year 2013, the African Union (AU) is celebrating its 50th years anniversary. Plan is underway to bring …
IBF/Africa Super Middleweight on the Line as Mashali Attempts to Grab the Crown
REELING from the recent defeat in the hands of the German strongman Uensal Arik, TEAM Francis Cheka is back on the drawing board as it attempts to defuse negative impact of the loss in their forthcoming rumble against the man of the people and dreadlock Thomas Mashali. The duo is competing for the “IBF Continental Africa Super Middleweight Title” as optional …
Msanii ‘FFU’ Aibiwa Bundi Wake Nyumbani
Na Mpekuzi wa Habari Ughaibuni WATU wasio julikana wamefanikiwa kuiba ndege wawili aina ya bundi wanaofugwa nyumbani kwa Kamanda Ras Makunja ambaye ni kuingozi Mkuu wa Ngoma Africa Band. Hata hivyo taarifa zinasema moja ya ndege wake walioibiwa wamepatiaka katika kituo cha hifadhi ya wanyama. Kamanda Ras Makunja anamlaumu jirani yake kuwa ndiye aliyechonga dili ya kuchukuliwa kwa ndege wake. …