KUPITIA televisheni za ITV na Clouds TV jana usiku katika kipindi cha 8 cha Guinness Football Challenge (robo fainali ya 3) Ghana waliweza kuibuka vinara na kupata dau kubwa zaidi tangu mashindano haya yaanze na kufuzu kuingia nusu fainali. Jonathan Naab na Desmond Odaano kutoka Afika Magharibi waliweza kuhimili vishindo na vikwazo vyote hata kufikia hatua ya mwisho ya Ukuta …
Afisa Utamaduni Jiji la Tanga Akagua Kambi ya Miss Utalii
WAKATI Maandalizi ya fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania 2013 yanaendelea kwa kasi katika hoteli ya kitalii ya Mwambani iliyopo katika ufukwe wa Tanga, huku kila Mrembo akijifua vikali, Afisa Utamaduni wa Mkoa wa Tanga Ndugu Peter Semfukwe ametembelea kambini hapo, kujionea yeye mwenyewe warembo wa Miss Utalii Tanzania 2013 ambao wanajiandaa na Fainali hizo za Taifa zitakazo fanyika …
Big Day For IBF, Ghana, Nigeria and Africa
GHANAIAN fighting machine and BEIJING 2008 Olympiad, Issa Samir becomes the first ever Ghanaian “IBF Youth Champion of the World” after stopping the Georgian handsomely true man Robison Omsarashvili 1 minute 29 seconds in round 3 at the Accra National Sports Stadium last night. Cheered on by thousands of Ghanaians who thronged the stadium from all walks of life, Samir lured the …
Mazoezi Kumsaka Malkia wa Tanga Yaanza
Na Mwandishi Wetu MAZOEZI kwa ajili ya kujiandaa na shindano la kumsaka malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu “Redd’s Miss Tanga 2013” yanatarajia kuanza Jumatano Mei 8 kwenye Ukumbi wa Lavida uliopo jijini Tanga. Akizungumza na mtandao huu Mkurugezi wa Kampuni ya DATK Intertaimeint, Asha Kigundula Mratibu wa shindano hilo, alisema kuwa maandalizi ya shindano hilo yanaendelea vizuri. Kigundula alisema …