Bondia Jonas Segu Aweka Historia Thailand, Apigwa…!

          TANZANIA imeweka historia mpya kwenye ngumi za kulipwa nchini Thailand baada ya mabondia wake kuwa wanapigwa kila mara wanapokwenda kuiwakilisha nchi na bara la Afrika. Safari hii JEMBE, kijana mtanashati anayeinukia kwenye masumbwi Jonas Segu kutoka katika ukumbi wa mazoezi wa Respect Gym Boxing Club ya Mabibo Loyola chini ya kocha Christopher Mzazi ameonyesha kipaji kikubwa cha kusukuma masumbwi …

Linah na Barnaba ‘Kufukuzwa’ THT…!

Na Andrew Chale KUELEKEA shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’  huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba  mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo taarifa za kutimuliwa na uongozi …

Francis Cheka Shopping for an Opponent Outside Africa for His 4th Defense

THE most celebrated “IBF Continental Africa Champion” Francis Cheka of Tanzania is shopping for an opponent outside Africa continent for his optional defense of his title for the fourth time. Cheka’s desire for foreign boxers derived from the dismal performances exhibited by Africa boxers he had met so far. “I have yet to see any African boxer who has challenged me aggressively” said the …

Timu Tano Afrika Mashariki Zatinga Nusu Fainali Pan-African Guinness Football Challenge

JANA usiku (Mai 15, 2013) kupitia televisheni za ITV na Clouds TV washindi kutoka Ghana katika GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE walisheherekea ushindi wao wa kufuzu nusu fainali kwa kucheza wimbo wa Azonto huku watangazaji Larry na Mimi nao wakijumuika nao. Emanuel Okarku (27) na Isaac aryee (25) hawakufanya vizuri katika hatua ya pesa ukutani na kupata dola za kimarekani 1,500 lakini …

Timu Kutoka Afrika Mashariki Yasaka Nafasi Kuingia Nusu Fainali Guinness Football Challenge

JUMATANO iliyopita kupitia stesheni za ITV na Clouds TV, Waghana Jonathan Naab na Desmond Odaano walifanikiwa kufuzu nusu fainali ya Pan-African Guinness Football Challenge. Inaweza kusemekana kuwa timu hii ilichagua njia rahisi kwa ajili ya kupata ushindi hadi kufikia hatua ya vikwazo ambapo walikutana uso kwa uso na waghana wenzao. Jonathan na Desmond walifanikiwa kushinda katika vikwazo vyote na kufikia …