Ghana Yaibuka Mshindi wa Nusu Fainali Guinness Football Challenge

JANA usiku (Mei 22 2013) kupitia televisheni za ITV na Clouds TV nusu fainali ya kwanza kabisa ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ ilirushwa hewani na katika runinga Afrika nzima ambapo timu ya Ghana ilionesha ni kwanini ni timu bora ambayo ndiyo imejishindia pesa nyingi mpaka sasa. Jonathan Nabb na Desmond Odaano walionesha uwezo na ujasiri wao walipoibuka washindi zidi ya wapinzani …

Watanzania Nusu Fainali Wiki Hii Tayari Kuwania Ubingwa Pan–African Guinness Football Challenge

JUMATANO iliyopita kupitia televisheni za ITV na Clouds TV timu ya Ghana iliyoshinda katika kipindi cha Tisa cha GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE walifurahia kupata nafasi katika nusu fainali kwa kucheza azonto ambayo iliwafanya watangazaji Larry na Mimi kujiunga nao. Kofi Okarku na Isaac Aryee ingawa hawakufanya vizuri katika hatua ya mwisho ya ukuta wa pesa wa Guinness walifanikiwa kupata dola za …

Hadija Said Kifaa Kipya cha Miss Utalii Tanzania

 MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO AKISHWA TAJI LA USHINDI NA MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA, MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO  KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES …

Redd’s Miss Tanga, Kupatikana Juni 22

Na Mwandishi Wetu SHINDANO la kumtafuta malkia wa Mkoa wa Tanga mwaka huu “Redd’s Miss Tanga 2013” linatarajiwa kufanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, mkoani humo. Akizungumza na mtandao huu jana Mkurugezi wa Kampuni ya DATK Intertaimeint, ambao ni waandaaji wa shindano hilo, Asha Kigundula, alisema kuwa warembo wote wanaoshiriki kinyang’anyiro hicho tayari wameanza mazoezi yanayofanyika kwenye Ukumbi wa …

Rumadha: Kutoka Uswahilini Hadi Ughaibuni

SENSEI Rumadha Fundi amefanikiwa kujiongezea taaluma kutoka Usensei wa Karate na Mwalimu wa Yoda na sasa kufikia kuwa mtaalamu wa tiba za binadamu upande wa mapafu! Huyu si mwingine bali ni Mtanzania mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan, Black Belt) mwenye maskani yake kule nchini  Marekani.  Mai 17, 2013 Sensei Rumadha Fundi akishangiliwa na kupongezwa …