BAADA ya kumsambalatisha Amosi Mwamakula kwa point bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ anakabiliwa na kibarua kizito kwa kupanda ulingoni na bondia Patrick Anthony Kavako ‘Baunsa’ wa Morogoro mpambano wa raundi 8 utakaofanyika katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala Bungoni Juni 16 akizungumzia mpambano huo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ alisema kuwa mpambano …
Fedha Kessy na Nando Waiwakilisha Tanzania Big Brother-The Chase 2013
Kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini likitoa burudani wakati wa uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase iliyorushwa Live na Channel za DStv 197 na 198 jijini Johannesburg usiku huu. Shindano la Big Brother-The Chase limedhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel. (Picha na Dewji Blog) Mwakilishi kutoka Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho …
Stella Mwangi Kutumbuiza Uzinduzi Big Brother Afrika
Mwandishi wa Daily Monitor Uganda Henry Ssali na Faith wa Nairobi Star wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri wakati wa mkutano huo. Baadhi ya waandishi kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa mkutano huo. Stella Mwangi a.k.a STL na wasanii wenzake wakifuatilia jambo kwenye mkutano huo. Operation Manager wa Mo Blog Zainul Mzige akipozi na Stella Mwangi STL. Big Brother Crew wakati wa …
Madabida Mgeni Rasmi Tamasha la Wasanii Chipukizi Dar
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida atakuwa mgeni rasmi katika tamasha la Mastaa chipukizi zaidi ya 320 litafanyika Jumapili 26, 2013 katika ukumbi wa Starlight Hotel kuanzia saa 4 asubuhi. Mwenyekiti wa Shiwata, Caasim Taalib alisema Madabida ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) atapata nafasi ya kuona vikundi mbalimbali …