Mamia Wajitokeza Kumwona Mis Albino Nchini Kenya

Mamia walijitokeza kushuhudia maonyesho ya urembo ya Mr na Ms Albino nchini Kenya. kila siku Albino wanakabiliwa na hatari ya kuwawa na viungo vyao vya mwili kuuzwa kutokana na imani za kishirikiana Afrika mashariki na Afrika kusini. Akina dada walioshiriki katika mashindano ya urembo kwa watu wanaoishi na ulemavu wa ngozi ama Albinos jijini Nairobi, Kenya. Tarehe 21 Oktoba 2016. …

Asee Diamond Platnumz na Harmonize Wafanya Kweli Majuu

Afrika Mashariki imekuwa na furaha kubwa wikendi kwenye tuzo za kila mwaka za Jarida la mziki Afrika, maarufu kama Afrimma Awards baada ya wasanii wa Kenya na Tanzania kuzoa tuzo tofauti kwenye hafla iliyofanyika Marekani wikendi. Imekuwa ni ushindi mkubwa kwa Wasanii wa lebo ya Wasafi kutoka Tanzania, Diamond Platnumz na Harmonize walioibuka mabingwa kwenye vitengo vyao. Diamond alimshinda Mtanzania …

Hatimaye Serikali Yaikubali Chura ya Msanii Snura…!

Mkutano na wanahabari ukiendelea.      Na Dotto Mwaibale   SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeruhusu kupigwa kwa wimbo wa chura wa msanii Snura Mushi baada ya kuufunga kwa kuwa haukuwa na maudhui mazuri ya Kitanzania.   Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, Snura Mushi alisema wimbo wake na video umeruhusiwa …

Walimbwende Miss Tanzania 2016 Waingia Kambini…!

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Hoteli ya Regency Msasani jijini Dar es Salaam leo kuanza kambi rasmi.   Mkurugenzi wa Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundega akizungumza na waandishi wa habari hotelini hapo mara baada ya idadi kubwa ya warembo hao kuwasili tayari kuanza …

Wasanii wa Tanzania Uingereza Wakutana na Balozi Asha Migiro

  KUNDI la wasanii wanane waliwakilisha wenzao wakazi Uingereza Jumatano iliyopita katika kikao na Balozi mpya wa Tanzania nchini humo, Dk. Asha Rose Migiro. Kikao hicho kilichoitwa na mheshimiwa Balozi kilikuwa na madhumuni ya kuweka ushirikiano kati ya jumuiya ya wasanii na Watanzania na Ubalozi wetu. Balozi Migiro alisisitiza kuwa sera ya awamu ya tano ni kuipa sanaa kipaumbele ili …

Watanzania 10 Wanaoenda China Hawa Hapa, Ni Washindi wa Sauti

   Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Lanfang Liao (kushoto) akimkambidhi mmojawapo wa washindi wa mashindano ya sauti, Hilda Malecela mfano wa runinga ya kisasa yenye ukubwa wa inchi 40 kutoka kampuni hiyo. Washindi 10 walipatikana katika shindano hilo na kujipatia fursa ya kwenda kufanya kazi katika ofisi za makao makuu ya StarTimes yaliyopo jijini Beijing, China.  Mmojawapo wa washindi …