Washiriki Redd’s Miss Tanga Kufanya Usafi na Kutembelea Wagonjwa

Na Mwandishi Wetu, Tanga WAREMBO wanaowania umalkia wa Mkoa wa Tanga “Redd’s Miss Tanga 2013” wanatarajiwa kushiriki katika shughuli za usafi wa mazingira mkoani Tanga “Kalembo Day” June 15 mwaka huu na baadae kutembelea wagonjwa katika hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo kuwaona wagonjwa na kutoa zawadi anuai. Shughuli hizo za usafi watazifanya katika maeneo mbalimbali jijini Tanga siku hiyo …

Bondia Japhet Kaseba Amchapa Mmalawi kwa TKO

BONDIA Jafet Kaseba wa Tanzania amemshinda bondia Rasco Chimwanza wa kutoka Malawi katika pambano la ubingwa lililofanyika Ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa, ukumbi ambao kwa sasa umesahaulika na kuwa katika hali mbaya ya kiuchakavu. Kaseba ameshinda mpinzani wake kwa TKO katika ’round’ ya sita baada ya M-malawi Chimwanza kushindwa kuendelea kufuatia makonde mfululizo aliyotupiwa na mpinzani wake, ambaye alionekana kutokuwa …

Wajue Washindi wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro

Matokeo ya Washindi wa Tuzo za Kilimanjaro -Wimbo bora wa Mwaka wa Taarab: Mjini Chuo Kikuu (Khadija Kopa) -Kikundi bora la taarab: Jahazi Modern Taarab -Mtunzi Bora wa Mashairi ya taarab: Thabit Abdul -Mtayarishaji bora wimbo wa taarab: Enrico -Msanii Bora wa Kike Taarab: Isha Mashauzi -Msanii Bora wa Kiume wa Taarab: Mzee Yusuf -Wimbo wenye vionjo vya asili: Chochea …

Magdalena Olotu Ndiye Redd’s Miss Kigamboni 2013

Mgeni rasmi katika shindano la Redd’s Miss Kigamboni 2013 Mbunge wa jimbo la Kigamboni Mh. Dr. Faustine Ndugulile (CCM) akiwa ameambatana na Meneja Masoko Taifa wa shirika la ndege la Precision Air Bw. Ibrahim Bukenya wakiwasili ukumbini.(Picha zote na Zainul Mzige wa Dewjiblog). Mgeni rasmi katika shindano la Redd’s Miss Kigamboni 2013 Mbunge wa jimbo la Kigamboni Mh. Dr. Faustine …

Bondia Kaseba Kuzipiga Rasco Chimwanza wa Malawi

BONDIA Japhet Kaseba leo amepima tayari kumkabili mpinzani wake Rasco Chimwanza kutoka nchi ya Malawi katika pambano la ubingwa wa kimataifa. Zoezi zima la upimaji lilisimamiwa na Anthony Ruta, Ibrahim Kamwe, Pendo Njau na doctor John Lugambila wa muhuimbili na kueleza kuwa mabondia wote wapo katika hali nzuri ya ushindani. Kwa upande wake Jafet Kaseba amejinadi kumsambaratisha mpinzani wake katika …