Warembo Redd’s Miss Kinondoni Wafanya Usafi Hospitalini

   Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni Dokta Gunini Kamba (kulia) akiwa na mratibu wa shindano la Redd’s Miss Kinondoni 2013, Ssebo wakiwaongoza warembo mara baada ya warembo hao kutembelea hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya kutembelea wagonjwa na kufanya usafi.  Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni Dokta Gunini Kamba (katikati) akiwa na mratibu wa shindano la Redd’s Miss Kinondoni …

Bondia Patrick kuzichapa na Class

BONDIA Patrick Anthony Kavako ‘Baunsa’ wa Morogoro ametamba kumchapa Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakati wa mpambano wao wa raundi nane utakaofanyika siku ya jumapili june 16 katika ukumbi wa panandi panandi uliopo Ilala Bungoni Dar es salaam. Akizungumzia mchezo huo Mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila ‘Super D’ alisema kuwa mpambano huo ni wa kukata na shoka ambao si wa …

Zuku Pay Tv Yazindua Zuku Swahili Movies chanel

ZUKU Pay Tv imezindua Zuku Swahili Movies chaneli namba 210 ambayo ni watakua wakionesha burudani za muziki na filamu za kiswahili. Tukio hili la kifalme lilitekwa utamaduni wa kiswahili na kuthamini historia ya filamu nchini Tanzania na kuthamini mchango wa waenzi pamoja na nyota mpya wa sekta ya filamu. Waigizaji, wakuzaji wa filamu wa Arusha na Dar es Salaam walikaribishwa …

Kampuni ya Bia ya Serengeti Yaahidi Kuendelea Kudhamini Tamasha la Bulabo

KWA shangwe kubwa maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Magu jijini Mwanza wamekuwa wakishuhudia burudani ya ngoma za asili za kabila la wasukuma ’Bulabo’ ambalo limemalizika siku ya Jumapili jioni katika uwanja wa Kisesa jijini Mwanza. Katika sherehe hizo za kiutamaduni vikundi ishirini na nane kutoka makabila ya wasukuma vilishiriki na kuzifanya sherehe hizo zivutie zaidi. Kampuni ya bia ya …

Wasanii Wanapoamua Kuuza Kazi Zao Wenyewe Mitaani…!

Wasanii Wanapoamua Kuuza Kazi Zao Wenyewe Mitaani…! WASANII wanapoamua kuuza kazi zao wenyewe mtaani badala ya kuingia mikataba na ‘madalali’ wengine ujue kuna kitu hakija kaa sawa katika utaratibu mzima wa usimamizi wa kazi za wasanii. Wengi wanalalama kuibiwa kuanzia kwa ‘madalali’ na baadhi ya wananchi wasiokuwa waaminifu. Juzi dev.kisakuzi.com imekutana na kundi la maigizo ya vichekesho Kashi Kashi (Maarufu …