Mabondia Yohana na Matayo Kuzipiga

KWA mara nyingine limeandaliwa pambano la ngumi la ki aina yake ni kati ya mabondia wakimya na wapole usoni na wasiopenda kabisa kuongea Yohana Robert aliekuwa bondia wa taifa na mkongwe katika masumbwi atakapopigana na Yohana Mathayo katika Ukumbi wa Friends Corner Manzese Jumapili Juni 30. Pambano hilo linakuwa la kiana yake kwa sababu ya sifa za hao mabondia kuwa …

Meet the African German Based Female Boxer Bintou Yawa Schmill ‘The Voice’

AFRICAN ladies are otherwise known for other things than Boxing, except for this one who is changing and making the story looks different. Ms. Bintou Yawa Schmill, 28 years young, a totally black African breed 1.71m, Togo born and based in Germany, started her boxing career at a tender age. Something she did as an Amature has become a success …

Redd’s Miss Kinondoni Talent 2013 Kufanyika Juni 20

Na Cathbert Angelo, Wa Kajunason Blog SHINDANO la Redd’S Miss Kinondoni Talent 2013 linatarajiwa kufanyika Alhamisi ya Juni 20 katika ukumbi wa Shekinah Garden, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambalo litashirikisha warembo wapatao kumi na mbili ambao watachuana kumpata mrembo mwenye kipaji. Akizungumza Mratibu wa Shindano hilo, Dennis Ssebo alisema maandalizi ya kuelekea shindano hilo yanaendelea vizuri na kueleza …

Happiness Watimanywa Aibuka Redds Miss Kanda ya Kati

Jaji Mkuu wa Shindano ya Kumsaka Mlimbwende wa Kanda ya Kati, Hashim Lundenga akipungia mikono kwa Watanzania waliofika kushuhudia mlimbwende wa Kanda ya kati anapatikana. Mshiriki wa kinyang’anyiro Cha Redds Miss Kanda ya Kati Hawa Nyange akijitambulisha.   Mmoja wa washiriki wa kinyang’anyiro Cha Kumtafuta Mlimbwende wa Kanda ya kati akijitambulisha mbele ya hadhara.  Muda wa Kuonyesha Vipaji ukawadia.  Mavazi ya …