Mpambano wa Ngumi wa Vunja Jungu…!

KAA tayari kwa mpambano wa ngumi wa aina yake ambapo Juni 30, 2013 ikiwa ni wiki ya mwisho kabla ya mwezi wa ramadhan mpambano huo utapigwa. Mabondia wakatili ulingoni na wapole nje ya ulingo kiasi cha kujulikana kama wacha mungu, YOHANA ROBERT na YOHANA MATHAYO watazipiga katika ukumbi wa Friends Corner Hotel, Manzese. Huu ni mpambano wenye upinzani mkali kutokana …

Watoto Yatima Kujumuika Katika Tamasha ‘Raha za Jana na Leo’

Watoto Yatima Kujumuika Katika Tamasha ‘Raha za Jana na Leo’   WATOTO Yatima wa Kituo cha Ngeze, (Ngeze Education Center) kilichopo maeneo ya Kinondoni kwa Msisiri watajumuika na watoto wenzao katika Tamasha la Raha za jana na leo linalojumuisha burudani ya bendi za muziki wa dansi. Wasanii nguli wa filamu na bongoflava wanaokubalika kwa watoto watakuepo kula, kuimba na kucheza …

Mwanadada Huyu Ndiye Redd’s Miss Kinondoni 2013

 Mshindi wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013, Bright Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo kwa kuweza kuwagalagaza wenzake wapatao 12 katika kinyang’anyiro hicho kilifanyika jana ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip jijini Dar.      Akivalishwa utambulisho wake.  Showlove…  Warembo waliofanikiwa kuingia katika tano bora …

Washindi wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 Wapatikana

Jaji Mkuu wa shindano hilo Mtayarishaji wa Muziki, Man Walter akiwa na msaidizi wake wakati wa shindano hilo.  Na Cathbert Angelo, Kajunason Blog JUMLA ya washiriki watatu wamepatikana katika shindano Redd’s Miss Kinondoni Talent 2013 lililofanyika katika ukumbi wa Shekinah Garden, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Akitangaza washindi hao, Jaji Mkuu wa shindano hilo Mtayarishaji wa Muziki, Man Walter …

Warembo Redd’s Miss Kinondoni 2013 Wakutana na Kamati ya Miss Tanzania

Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye akiongea machache wakati kamati hiyo ilipotembelea Kambi ya Mazoezi ya Redds Miss Kinondoni 2013 iliyopo katika hoteli ya JB Belmont hoteli jijini Dar es Salaam. Kutoka upande wa mkuu wa Itifaki ni katibu Bosco Majaliwa, Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundega, mjumbe wa kamati hiyo, Lucas Rutta wakiwa pamoja muandaaji …