Mrembo Sylona Atwaa Taji la Redd’s Miss Temeke 2013

Na Mwandishi Wetu MREMBO Sylona Nyameyo jana usiku alifanikiwa kutwaa taji la Redd’s Miss Temeke lililofanyika katika Ukumbi wa TCC Changombe, jijini Dar es Salaam. Sylona aliye mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akisomea mambo ya sheria alifanikiwa kuwashinda warembo wengine na kufanikiwa kujitwalia taji hilo. Katika shindano hilo lililokuwa na upinzani mkali, …

Tamasha la Filamu la Grand Malt Kufungwa Leo

Na Mwandishi Wetu, Mwanza LEO ni leo katika Uwanja wa Nyamagana jijini hapa, wakati kutakapofungwa rasmi Tamasha la Wazi la Filamu la Grand Malt Tanzania, maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’ lililokuwa likifanyika kwa wiki nzima. Huku wasanii wote mashuhuri wa filamu wakitarajiwa pia kufanya vitu vyao jukwaani, kazi kubwa itakuwa kwa burudani kali zitakazotolewa wakati wa kufunga …

Maandalizi ya Harusi Fashion Show 2013 Yapamba Moto…!

Biashara Na Maonesho ya Harusi, Watu wengiwahamasishwa kushiriki na kutembelea Maandalizi ya Harusi Fashion Show 2013 yapamba moto, Maonesho hayo ya mavazi na wafanyabiashara wa bidhaa na huduma za harusi yanatarajiwa kufanyika tarehe 6 mwezi wa saba katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, Dar es salaam. Muanzilishi na muandaaji wa Harusi Fashion Show Mustafa Hassanali amesema ikiwa ni mwaka wake wanne …

EAC Yashiriki Tamasha la Filamu Zanzibar

Na Mtua Salira, EANA-Arusha KWA mara ya kwanza katika historia ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Sekretarieti ya jumuiya hiyo inashiriki katika Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) kuongeza uelewa zaidi wa jumuia kwa watengenezaji wa filamu na wasanii juu ya masuala ya mtangamano. Tamasha hilo la 16 litakalochukua wiki zima na ambalo ni moja ya matamasha makubwa kabisa …

WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA

Wadau, kumradhi kwani huu wosia (ufuatao hapo chini) wa “Lady Jay Dee” ulitolewa week Kandhaa zilizopita, ila kwa sabubu moja au nyingine, haukuweza kutufikia mitamboni kwetu katika muda muafaka. Kwa faida ya wasomaji wetu lukuki, tumeona tuuweke hapa, ili wote msome na kama mtapata fursa ya kutoa maoni, basi toweni kwa ajili ya mustakabali mzima wa muziki nchini kwetu Tanzania. …