Mshindi wa Droo ya Tatu ya Winda na Ushinde Atangazwa

Mfanyabiashara ndogondogo Morogoro ashinda shs 1,000,000 KAMPUNI ya bia ya Serengeti imetangaza mshindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya Winda na Ushinde ambae amejinyakulia kitita cha milioni moja baada ya kuchezesha droo yake ya tatu na ya mwisho. Droo hiyo ilichezeshwa katika ofisi za kiwanda hicho jijini Dar es Salaam huku ikishuhudiwa na mhakiki kutoka katika bodi yamichezo ya …

Jhikoma, Afrikabisa Band Walikuwa Kivutio ZIFF

ILIKUWA Julai 7, 2013 (SABASABA) Mwanamuziki Jhikoman alipewa heshima ya pekee kufungua Tamasha la Kimataifa ZIFF la Zanzibar. Mwanamuziki Jhikoman na Afrikabisa band yenye maskani kule Bagamoyo almaarufu mjini B.O. Hata hivyo mwishoni mwa mwezi Julai watafanya maonesho mjini Iringa, hivyo wadau wa Iringa hawana budi kukaa mkao wa kula. Waweza kupata mengi zaidi kuhusu Jhikoman & Afrikabisa Band at …

Super D Kufanya Ziara Kuhamasisha Ngumi Tanga

ZIARA hiyo yenye lengo la kuhamasisha mchezo wa ngumi kwa vijana na kuwapa mbinu mpya baadhi ya makocha wa mikoa husika ili mchezo wa ngumi uweze kusonga mbele ingawa mchezo huo unapendwa na wenga na kukwepwa na wadhamini ndicho kitu kinachokifanya mchezo wa masumbwi uonekane umeshuka hadhi yake wakati bado upo juu. Akizungumzia safari hiyo Super D amesema safari hiyo …

Japhert Kaseba Sasa Aamia Kwenye Filamu, Atoka na Bongo Mafia

BINGWA wa mchezo wa Kick Boxing nchini, Japhert Kaseba ameingia katika fani ya filamu za mapigano ‘live’ akianzia na picha yake ya kwanza itakayo mtambulisha inayotambulika kwa jina la “Bongo Mafia” Filamu hiyo iliyo rekodiwa katika ubora wa hali ya juu sasa ipo mtaani ikisambazwa na Kampuni ya Steps Entatainment ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya wapenzi wa …