Isere Sports Yatoa Jezi kwa Timu ya Kilwa Masoko
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Vifaa vya michezo, Isere Sports imetoa jezi seti moja yenye thamani ya sh. 350,000 kwa timu ya Fresh Niga ya Kilwa Masoko inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu wilaya ya Kilwa. Katibu Mipango wa timu ya Fresh Niga, Maulid Mtika akipokea jezi hizo jana alisema msaada huo ni mfano wa kuigwa na wafanyabiashara wengine wenye uwezo …
Deogratias Lyatto Atoa Shukrani kwa Wadau wa Soka
MAELEZO YA SHUKURANI YA MWENYEKITI ALIYEMALIZA MUDA WAKE WA KAMATI YA UCHAGUZI YA TFF – KWA VIONGOZI NA WADAU WA SOKA NCHINI 1. Kama wote tunavyofahamu jana uongozi wangu wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ulifikia tamati kama mlivyotangaziwa na Rais wa TFF. Kwa heshima kubwa naomba kutumia fursa hii kuwashukuru viongozi na wadau …
U.T.U Kushiriki Festival ya ‘Brüderschaft der völker’ Mjini Aschaffenburg
WATAYARISHAJI wa Festival ya “Brüderschaft der völker” mjini Aschaffenburg, nchini Ujerumani, wameuhalika Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) kushiriki katika maonyesho hayo utamaduni wa nchi mbalimbali yatakayo anza 19 hadi 21 Julai 2013. Watayarishaji wa maonyesho hayo wamevutiwa sana sana na shughuli za Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) kwa juhudi zake za kuitangaza Tanzania, wandaaji wa onesho hilo wametoa nafasi kwa umoja …