MREMBO atakayetwaa taji la Redds Miss Ilala 2013, linalofanyika Agosti 16, ataondoka na zawadi ya Shs. Milioni 1,500,000, huku mshindi wa pili atajipatia shs milioni moja na wa tatu shs laki saba. Mbali na zawadi hiyo, washindi hao watatu watapata ofa ya miezi sita kutoka RIO gym & Spa, iliyopo Quality Center, kutumia vifaa vyote ndani ya gym hiyo …
Redds’s Miss Ilala Talent Kufanyika Leo
Na Mwandishi Wetu KATIKA Kuelekea Redds Miss Ilala Ijumaa, leo kutakuwa na shindano la kumtafuta mrembo mwenye kipaji (Talent) itakayofanyika katika mgahawa wa City Sports and Lounge uliopo katikati ya jiji. Mratibu wa shindano hilo, Juma Mabakila alisema kuwa maandalizi ya kuelekea shindano hilo yanaendelea vizuri na kueleza kuwa warembo wote 14 wamejipanga kuonesha vipaji vyao ipasavyo. Mabakila alisema mshindi wa talent …
Mabondia Wapima Tayari kwa Mpambano wa Idd Mosi Dar Live
BONDIA Francis Miyeyusho amewaongoza mabondia wa Tanzania katika zoezi l upimaji afya dhidi ya pambano lake dhidi ya bondia Fidelis Lipupa kutoka Zambia mchezo ambao ni pambano la kirafiki la kimataifa, linalotarajiwa kupigwa kesho katika ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam. Zoezi zima la upimaji liliongozwa na Katibu Mkuu wa ngumi za kulipwa Ibrahim Kamwe akisaidiwa na Dk. …
Mtanzania Aibuka Bingwa Kuruka Kamba Duniani
Na Jennifer Chamila-MAELEZO KIJANA wa Kitanzania Hamisi Kondo ameibuka mshindi wa dunia katika mashindano ya kuruka kamba yaliyofanyika nchini Marekani Julia 5 hadi Julai 13 mwaka huu. Mashindano hayo yalihusisha nchi 14 zikiwa na wachezaji 480, huku Bara la Afrika likiwakilishwa na Tanzania, Kenya na Afrika ya Kusini ambapo kijana Hamisi mwenye umri wa miaka 14 Mtanzania aliweza kujinyakulia ushindi huo. …