KAMPUNI ya Oriflame inayojishughulisha na kutengeneza vipodozi yenye makao yake makuu nchini Sweden, imezindua bidhaa mpya zitakazouzwa nchini kwa kupitia wasambazaji na wanachama wake. Bidhaa hizo za Oriflame zinatengenezwa kwa kutumia matunda, maua na mimea mbali mbali inayoweza kusaidia ngozi kuwa katika hali bora na vilevile kukinga na kutibu maradhi mbalimbali ya ngozi. Katika hafla hiyo watanzania wameshauriwa kutumia bidhaa …
Emirates Invites Passengers to Milan
Offer at the Armani Hotel Milano, Emirates Live to offer AC Milan matches packages BRINGING people closer to the glamorous life in Milan through its expanded service, Emirates extends an invitation to experience the classic Armani Hotel in Milan. Additionally, through its Emirates Live online booking tool, packages to AC Milan’s autumn matches will be available at the click of …
SBL yairejesha bia ya Kibo Gold sokoni mjini Moshi
Baadhi ya Wafanayakazi wa kampuni ya bia ya SBL wakishangweka vilivyo jioni ya leo na kinywaji chao kipya aina ya Kibo Gold,mara baada ya kukizindua tena kwa wakazi wa mji wa Moshi na kwingineko,mara baada ya kupotea kabisa kabisa katiko soko kwa muda wa miaka kumi. Meneja wa kinywaji cha bia ya Serengeti,Allan Chonjo akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali …