Haya ndio Magari Mawili aina ya ‘VOLKS WAGON AMAROK’ yaliyonunuliwa na Mfanyabiashara maarufu nchini Said Bhakresa. Pichani Juu na chini ni Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Alliance Autos (T) LTD inayouza magari hayo Bw. Julius Guni (kushoto) akimkabidhi funguo pamoja na kitabu cha maelekezo ‘Manual Book’ cha magari hayo mwakilishi wa Bhakresa Bw. Omar Said kutoka Bhakresa Food Products. Bw. …
Emirates Doubles Paris Double Decker Service
Second daily A380 service from 1 January 2013 EMIRATES is to launch a second A380 service to Paris from the beginning of next year. From 1st January 2013, the Emirates’ double decker will be deployed on EK flights 075 and 076 – in response to overwhelming demand on the Dubai-Paris route. The airline currently serves Paris with 18 weekly flights, …
Dk. Alberic Kacou azindua Ripoti ya Dunia ya Uwekezaji 2012
Pichani Juu na Chini ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic Kacou akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Dunia ya Uwekezaji 2012 yenye kauli mbiu ‘Sera Kuelekea Kizazi Kipya katika Uwekezaji’ ambapo amewasisitiza watunga sera wa Tanzania kutumia rasimu ya Sera ya Uwekezaji ya Maendeleo Endelevu kwa mwaka 2012 kama kipaumbele katika kuunda sera za Kitaifa …
Benki ya Twiga Bancorp na huduma kwa wateja ndani ya Viwanja vya Sabasaba Dar
Wafanyakazi wa Benki ya Twiga Bancorp ambao wapo kwaajili ya kutoa huduma katika banda la Benki hiyo viwanbja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu Saba Saba wakilamba picha ya pamoja mbele ya Banda lao linalotoa huduma kamili za Kibenki huku wakiwa na tuzo ya Century International Gold Quality ERA waliyo ipata Genever kwa huduma bora . Utoa huduma bora …
Emirates Group Security Honoured By UK Border Agency
United Kingdom Ambassador to the UAE presents award to His Highness Sheikh Ahmed bin Saeed Al Maktoum, Chairman and Chief Executive, Emirates Airline Emirates Group Security has been honoured by the United Kingdom Border Agency (UKBA) in a ceremony with His Highness (H.H.) Sheikh Ahmed bin Saeed Al Maktoum, Chairman and Chief Executive, Emirates Airline & Group. Recognising the outstanding …