Gari linauzwa, ni 2002 Jeep Grand Cherokee Laredo!

2002 Jeep Grand Cherokee Laredo-American Edition V6 Duty Paid Brand New AC Cooling fan Brand New complete engine fan with magnet 117726 Kms Power Windows Power Locks Automatic Transmission Contact: +255684780733 or +255754940992 Asking price: 29 Million TSHS.

CRDB sasa kuingia kihuduma Burundi

Na Nicodemus Ikonko, EANA, Arusha MOJA ya taasisi za fedha zenye mafanikio nchini Tanzania, Benki ya CRDB, itafungua tawi lake mjini Bujumbura, Burundi, kabla ya mwisho wa mwaka huu, ikiwa ni mara ya kwanza kwa benki hiyo kuvuka mipaka ya nchi yake. Meneja Mkuu wa Benki ya CRDB Burundi, Bruce Mwile alilithibitishia Shirika Huru la Habari la Afrika Mashariki (EANA) …

Emirates Offers Tanzania Travellers Special Ramadan Fares

EMIRATES has unveiled a range of great value Economy Class fares from Dar es Salaam to more than 50 destinations across the Middle East, Europe, the Indian Subcontinent, Far East and Asia during the month of Ramadan. Economy Class return fares from Dar es Salaam to Dubai now start from US$ 670 and Business Class fares from US$ 1840 during …

CRDB Bank yashinda tenda ya tiketi za elektoniki

BENKI ya CRDB PLC imeibuka mshindi wa tenda ya kutengeneza tiketi za elektroniki za kuingilia uwanjani iliyotangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Kampuni saba zilijitokeza katika hatua ya awali ya kuonesha nia kwa ajili ya tenda hiyo ambapo Aprili 19 mwaka huu Kamati ya Mipango na Fedha ya TFF ambayo ndiyo Bodi ya Tenda ya shirikisho ilipitia …