INTEGRATE your smartphone to your car’s music system seamlessly with the Five New A/V Receivers for Rich Audio, Video, Navigation and More (Tanzania, 17th September, 2012) – Sony, the leading consumer electronics brand, today announced the launch of five new Xplod A/V receivers (XAV-701BT, XAV-741, XAV-601BT, XAV-64BT, and XAV-63). Offering enhanced iPod/iPhone control, a wide range of smartphone and USB …
Trade Mark East Africa yaanzisha mfuko wa USD mil 7.5
By James Gashumba, EANA TAASISI ya Trade Mark East Africa (TMEA) imezindua mfuko wa thamani ya dola za Kimarekani milioni 7.5 kufadhili miradi ya ubunifu katika nchi tano wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inayolenga kuondoa vikwazo vya biashara katika kanda hiyo. TMEA ni taasisi inayofadhiliwa na mashirika mbalimbali ili kuunga mkono juhudi za kusukuma mbele masuala ya mtangamano …
Waziri wa Viwanda na Biashara ziarani mkoani Tanga
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda anafanya ziara ya siku tatu mkoani Tanga ikiwa ni maalumu kutembelea Viwanda na kuangalia utendaji wake. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kutoka kitengo cha Habari na Mahusiano cha Viwanda na Biashara, ziara hiyo ni maalumu kwa lengo la kuvitembelea viwanda mbalimbali vya mkoa huo na kujionea utendaji wake, ikiwa ni pamoja na …
Foreign investment in mining across Africa to increase 40%
THE Marikana mine massacre last week may be the ANC’s Sharpeville moment, but the struggle we are witnessing – workers and local communities against corporate giants and in some cases their own governments – is not just unfolding in South Africa. There is a new corporate scramble for Africa’s natural resources. You’d think it should play differently this time. After …
Viwanja vya ufukweni ‘beach’ vinauzwa!
Viwanja vya ufukweni (beach) vinauzwa zipo Heka 3 mil.250 heka 10 mil.600 heka 1.na nusu mil.150 heka 60 shamba la kawaida lipo mkuranga mil 600. Heka 4 karibu na dar es salaam zoo mil 35. Heka 10 beach namba 3 mil.250 lipo kimbij. Na viwanja vya mil. 8 vipo gezaulole kigamboni. Wekeza kwenye ardhi kwani ardhi ni mali.. Kwa mawasiliano …
SBL yamkabidhi mshindi wa Vumbua Hazina chini ya Kizibo gari
Mshindi wa gari wa shindano la Vumbua Hazina chini ya Kizibo, Amin Joseph Maro akiingia ndani ya gari yake aina ya Ford Figo baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Serengeti Breweries, Ephraim Mafuru, hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye bustani ya Nyerere Square mjini Dodoma. Wanaoshuhudia katikati yao ni Baba yake Mzee Augustine Tengia, wengine wanaoshuhudia tukio …