Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga akitoa shukurani kwa Wadhamini wakuu waliofanikisha Serengeti Fiesta 2012 kufanyika na kumalizika kwa amani kwa mikoa takribani 12 nchini Tanzania ilhali tamasha hilo likiacha alama ya maendeleo na chembe za changamoto ya ukuzaji uchumi kwa wananchi wa mikoa iliyo kuwa kwenye ratiba. Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga akitoa Cheti cha …
Sony Ups Stakes in Digital Camera Market by Releasing High Quality, Pocket-Sized Cyber-Shot RX100
Travelling light doesn’t mean compromising on picture quality SONY, the leading consumer electronics brand, continues to up the stakes in the digital camera market, targeting an increasingly growing population of amateur photographers in the Kenyan market. Its latest offering the Cyber-shot RX100 features a host of powerful features packaged into a sleek, compact aluminium body designed to offer high quality, …
Azam Kuzalisha Ujazo Mpya wa Juisi Kukidhi Maitaji ya Wateja
Meneja mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza juice cha BAKHRESA FOOD PRODUCTS LIMITED, L Naimesh Kansara akionesha timu ya Wapigapicha waliokuwa katika safari ya Upigaji Picha za Jumuia ya Afrika Mashariki ‘EAC PHOTO SAFARI’ walitembelea viwanda hicho ujazo mpya wa boksi za Juice ambazo Kampuni hiyo itaanza kuzizalisha mapema mwakani. Timu hiyo ya Wapigapicha ilitembelea kiwanda hicho kwakuwa tu ni Bakhresa …
Semina na Maonesho ya Twende Kufanyika Oktoba 18, 2012
Na Mwandishi Wetu JUKWAA la Wanawake Wajasiriamali Tanzania (TWENDE) linatarajia kufanya maonesho ya biashara za wajasiliamali ikiwa ni hatua ya pamoja kusaidiana na Serikali katika kutimiza malengo ya milenia likiwemo namba moja ambalo linalenga kuondoa umasikini. Maonesho hayo yanayoandaliwa na TWENDE na kufanyika kila mwaka kwa miaka mitatu sasa mfululizo yanatarajiwa kuanza Oktoba 18 hadi 20 katika viwanja vya Mnazi …
Azam Marine Yaleta Meli Kubwa ya Kisasa
Meli ya Azam Marine inayoitwa Azam SeaLink 1 ikiwasili katika bandari ya Visawani Zanzibar kwa mara kwanza. Sehemu ya Parking yenye uwezo wa kuingiza magari 200. Muonekano wa ndani wa Lounge ya kumpzikia wasafiri. Muonekano wa nje. (Picha na Omar Said wa Kampuni ya Bakheresa). Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi Zanzibar KAMPUNI ya Azam Marine inayomiliki boti …