Gari Aina ya Acura Inauzwa…!

 Muonekano wa Ubavuni Muonekano wa Mbele  Kwa Ndani  Kwa Nyuma  Muonekano wa Gari lote  Dashboard inavyosomeka Injini bado ipo safi kabisa IPO KWENYE HALI NZURI SANA.NA DALALI HAKUNA. MANUFACTURE: HONDA MODEL: ACURA  YEAR: 1999 Kilometer: 125,403 Fo Serious Buyer Only Call this Number 0712 781 314 Ask Mr Evarist

EABL Yaalika Udhamini kwa Wanachuo

KAMPUNI ya EABL imeanza kupokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kudhaminiwa kwa masomo ya elimu ya juu (Chuo Kikuu), ikiwa ni moja ya mchango wake ya kurudisha faida katika jamii inayoiwezesha kampuni hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo Oktoba 23, wanafunzi wanaohitaji kupata udhamini huo watatakiwa kujaza fomu maalumu (imeambatanishwa chini ya habari hii) na kuambatanisha nakala ya …

JK Kuwaleta Wafanyabiashara wa Oman Tanzania

Na Mwandishi Maalumu, Oman SERIKALI ya kifalme ya Oman inatarajia kutuma ujumbe wake ambao utajumuisha na wafanyabiashara kuja Tanzania kutathmini na kuangalia maeneo gani nchi hiyo na wafanyabiashara wake wanaweza kuwekeza, kufuatia ziara ya kiserikali ya Rais Jakaya Kikwete ya siku 4 nchini Oman. “Tutaunda kamati na kutuma ujumbe kwenda Tanzania kuangalia na kujua aina gani ya biashara na vitega …

Silafrica Yakabidhi Msaada wa Tanki la Maji Kituo cha Polisi Buguruni

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya vifaa vya plastiki Silafrica Limited (SIM TANK) jana ilikabidhi tanki lenye uwezo wa kuchukua lita za ujazo 2000 za maji kwa ajili ya kuhifadhia maji safi katika kituo cha poilisi cha buguruni jiji Dar es Salaam katika hafla fupi iliyofanyika kituoni hapo. Akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo, Meneja Mkuu wa kampuni ya …