Maadhimisho ya 23 ya Siku ya Viwanda Afrika Dar es Salaam

Mgeni Rasmi Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda akitoa hotuba katika Maadhimisho ya 23 ya Siku ya Viwanda Afrika yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, ambapo amesema hakuna nchi hapa duniani ambayo imepata maendeleo ya kudumu kwa wananchi wake bila kuendeleza viwanda, kwa sababu viwanda vinatoa ajira na hivyo kupunguza umasikini wa kipato kwa wananchi wanaozalisha bidhaa viwandani. …

Maonyesho ya Vifaa vya Ujenzi na Samani Yafugwa

      Afisa uhusiano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile (wa pili kushoto) akimkaribisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Jacqueline Mneney Maleko (wa pili kulia) kugawa vyeti kwa washiriki sambambamba na kufunga Maonyesho ya Vifaa vya Ujenzi na Samani za ndani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. …

Multichoice Tanzania Yatoa Punguzo la 10% ya Malipo ya Mwezi DStv

Meneja Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Peter Fauel, akitangaza Punguzo la Asilimia Kumi ya Malipo ya mwezi kwa wateja wa Televisheni kwa Vipindi vya DStv likaloanza hapo kesho, ambapo amesema punguzo hilo litawawezesha wateja wao kulipia huduma za Matangazo ya Televisheni ya kituo hicho kwa gharama nafuu. Pia amesema Offer hiyo ya Punguzo la bei ni hatua ya Kampuni hiyo …

Mkurugenzi wa ILO Afunga Maonesho ya Wajasiriamali wa MOWE 2012

  Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi. Flossie Gomile Chidyaonga akitoa hotuba yake kwa wajasiria mali wa MOWE 2012. Msichana Mjasiriamali akipokea cheti cha ushiriki wa MOWE 2012 toka kwa Balozi wa Malawi Bi. Flossie Gomile Chidyaonga (kushoto). Katikati ni Mwenyekiti wa Taasisi ya MOWE Bi. Elihaika Mrema. Mkurugenzi wa ILO nchini Bw. Alexio Musindo (kulia) na Bi. Teddy Rucho …