Waziri Kigoda Ashangazwa na Mvinyo wa Nyanya

WAZIRI wa Viwanda Biashara na Masoko Dk. Abdalah Kigoda ameshangazwa na mvinyo wenye kileo unaotengezwa na tunda la nyanya. Kigoda alishangazwa na hali hiyo hivi karibuni alipokuwa akikagua mabanda ya maonesho ya SIDO ya Nyanda za Juu Kusini yaliyofanyika mkoani Mbeya. Dk. Kigoda ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maonesho hayo alitembelea banda la mradi wa Muunganisho Vijijini (MUVI) na kijionea …

Precision Air Yawapa Nafasi mashabiki wake katika Ukurasa wa Facebook

      Baada ya shirika la ndege la Precision Air kununua ndege yao mpya aina ya ATR 42-600 na kuwa shirika la kwanza Africa na duniani kumiliki na kutumia ndege aina hiyo, sasa inawapa fursa mashabiki wake katika mtandao wa facebook na twitter kuwa wa kwanza kuruka na ndege hiyo.  Ndege hiyo hiyo ya kisasa ambayo uzinduzi wake rasmi …

TIGO Yashikilia Usukani wa Kero kwa Wateja

Na Waandishi Wetu, Hudumabongo@gmail.com KAMPUNI ya mawasiliano ya simu za mkononi, Tigo imeshikilia usukani wa biashara inayoongoza kwa kero kwa wateja baada ya kuibuka kuwa mshindi miongoni mwa biashara 31 zenye kero kwa wateja nchini . Taarifa hii ni matokeo ya zoezi linaloendeshwa na watumiaji wa mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook wenye lengo la kuboresha sekta binfasi nchini …