Waziri Mkuu Pinda Aahidi Mazao Mbadala ya Biashara

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wakazi wa wilaya mpya ya Mlele mkoani Katavi walime mazao mbadala ya biashara kama alizeti, karanga na ufuta kwa sababu yanachukua muda mfupi na hivyo kuleta kipato cha haraka. Ametoa wito huo Desemba 14, 2012, wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Nsenkwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye zahanati ya kijiji hicho …

ADB Kujenga Masoko Saba ya Kisasa Katika Wilaya Sita za Tanzania

Na Shomari Binda, Musoma JUMLA ya masoko saba ya kisasa ya mazao ya kilimo na mifugo yatakayoghalimu kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 3.5 yanatarajiwa kujengwa na benki ya Maendeleo Barani Afrika (ADB) katika Wilaya sita zinazopakana na nchi jirani za Kenya na Uganda. Ujenzi huo unalenga kutatua changamoto kubwa ya ukosefu wa masoko ya mazao inayowakabili wakulima na wafugaji …

Mbunge Eugean Mwaiposa Kuwainua Wana-Ukonga Kupitia UVICOSA

 Katibu wa Ukonga Vicoba Sacos (UVICOSA), Bi. Mary Katobes (kushoto) akizungumza wakati wa kuwahamasisha wananchi wa jimbo la Ukonga (kupitia vyombo vya habari) kujitokeza kwa wingi kujiunga na Sacos yao hiyo. Meneja wa Mradi wa Jamii na Maendeleo Ukonga,Suzan Miseda akizungumza katika mkutano huo na waandishi wa habari.

Growing Tanzania Economy a Driver for New Heineken Star Bottle

Growing Tanzania economy a driver for new Heineken Star Bottle HEINEKEN Tanzania Country Manager, Mr. Uche Unigwe, cites economic growth and a shift towards premium buying patterns amongst their target consumer as a reason why Heineken has decided to launch their new aluminum Star Bottle in Tanzania. “As the Tanzanian economy grows, consumers have gained considerable buying power and are …

Huduma ya M-Pesa Yarejea Hewani

HUDUMA ya M-Pesa ilipata hitilafu jana…Wahandisi wa mtandao Tanzania wakishirikiaana na wadau wa nchini Uingereza walifanya kazi usiku na mchana ili kutatua tatizo na hatimaye kuwezesha huduma kufanya kazi mida ya jioni. Mkurugenzi wa kitengo cha M-Pesa, Jacques Voogt amesema wateja walikua wakipiga *150*00# wanapata ujumbe mfupi SMS usemao “Ndugu mteja, huduma ya M-Pesa haipatikani kwa sasa, tafadhali jaribu tena” …

Tanzanian Mining Companies and Government Agree to Multi-Stakeholder…!

Tanzanian Mining Companies and Government Agree to Multi-stakeholder partnership approach to help formalise the artisanal mining sector ANGLOGOLD Ashanti (AGA) and African Barrick Gold (ABG), as key members of the Tanzania Chamber of Minerals and Energy, recently discussed their fully aligned commitment to work with Government and other stakeholders including the World Bank and artisanal mining groups to explore approaches …