Mkurungezi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Atembelea Clouds FM

  Baada ya ziara kutembelea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo, pia Steve Gannon alipata wasaa wa kukaa meza moja na uongozi wa juu wa kampuni hiyo na kuzungumza machache, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa ufanisi wa kikazi kwa mwaka mpya wa 2013.  Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga ‘Joe’ pichani kushoto akichanganua jambo kwa Mkurungezi Mtendaji wa …

DSTV Tanzania Yawatoa Hofu Wateja Wake Juu ya Mabadiliko ya Digitali

Meneja Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi wa MultiChoice Africa kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Stephen Isaboke ambapo amesema Wateja wa huduma za Dstv nchini Tanzania wametakiwa kutokuwa na hofu ya kupata muingiliano au kukatika kwa picha katika kipindi hichi cha kutoka analogia kwenda digitali. Barbara Kambogi amesema watanzania ambao …

Barrick Gold Ends Chinese Talks to Sell African Unit

Barrick Gold Ends Chinese Talks to Sell African Unit By Liezel Hill & Thomas Biesheuvel – Jan 9, 2013 Barrick Gold Corp. (ABX), the biggest producer of the precious metal, ended talks over the sale of its 1.44 billion-pound ($2.32 billion) African unit to China National Gold Group Corp. without reaching an agreement. Barrick still sees “a lot of value” …

Wanachuo Kipawa Sasa Kulipa Ada kwa M-Pesa

WANACHUO wa Chuo cha VETA Kipawa Dar es Salaam kuanzia sasa wataanza kulipa ada kupitia huduma ya M-Pesa baada ya chuo hicho kufikia makubaliano na Kampuni ya Simu za mikononi ya Vodacom kuwezesha huduma hiyo. Chuo hicho ni miongoni mwa Shule na Vyuo vingine kadhaa ambavyo vipo katika hatua za mwisho za mazungumzo na Vodacom ya kuviwezesha kutumia huduma ya …