MRADI WA MATREKTA YA URSUS MKOMBOZI KWA WAKULIMA

  Matrekta ya Kampuni ya Ursus SA ya nchini Poland yakiwa tayari yameunganishwa na Wataalam kutoka Poland na Tanzania katika eneo la Kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani Pwani yakiwa tayari kuanza kufanya kazi.   Majembe yatayotumika na matrekta ya Kampuni ya Ursus SA ya nchini Poland yakiwa tayari yameunganishwa na Wataalam kutoka Poland na Tanzania katika eneo la Kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani …

VIGEZO VINAVYOTUMIKA KUZIPA HADHI HOTELI

Na Jumia Travel Tanzania   HIVI ushawahi kujiuliza ni kwanini hoteli fulani inatajwa kuwa ni ya nyota tatu, nne au tano? Najua itakuwa ni vigumu kuelewa kama haupo katika tasnia ya masuala ya hoteli au utalii mpaka upatiwe ufafanuzi wa kutosha.   Hivi karibuni Serena Hotel ya jijini Dar es Salaam ilifanikiwa kupewa hadhi ya kuwa hoteli ya nyota tano katika hafla ambayo mgeni …

HaloPesa, Selcom Kupanua Wigo wa Huduma za Kifedha

    KATIKA kufanikisha azma ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti, kampuni ya mawasiliano ya Halotel imeendelea kuunganisha huduma yake ya Halopesa na huduma nyingine zaidi ili kuendelea kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa Watanzania. Katika kulifanikisha hilo Halotel imeingia makubaliano ya mkataba wa utoaji wa huduma na kampuni ya Selcom, ushirikiano utakaowawezesha …

NBS: Mfumuko wa Bei ya Bidhaa Tanzania ‘Wang’ang’ania’ 6.4%

 Mkutano na wanahabari ukiendelea. Wanahabari wakichua taarifa hiyo.     Na Dotto Mwaibale   MFUMUKO wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka umebaki kuwa asilimia 6.4 kama ilivyokuwa mwezi uliopita. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa Sensa za watu na takwimu wa Ofis ya Taifa ya Takwimu,(NBS), Ephraim Kwesigabo, alisema hii inamaanisha kuwa kasi …