Bia ya Tusker Lite Yatikisa Dar es Salaam
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imezidi kukonga nyoyo za wapenzi wa bia jijini Dar es Salaam kupitia kinywaji chake cha Tusker Lite. Kinywaji hicho cha ukweli kilizinduliwa mwezi Novemba mwaka jana. Tusker Lite ina wanga kidogo na ladha halisi ya kuburudisha. Kwa mujibu wa matukio yanayoendelea katika baa mbalimbali jijini, wapenzi wa bia wamepata fursa ya kuzungumza na mabalozi …
Shirika la Ndege la Precision Air yazindua Safari za Mbeya
Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri wa Wizara ya Uchukuzi, Peter Lupatu, akikata utepe kuzindua Safari za Ndege za Shirika la Precision Air za Mbeya kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air, Michael Shirima. Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air (PW), Michael Shirima, (Kushoto) akiteta jambo na abiria wa kwanza …