Mbezi beach, off Church Rd. Mbezi beach, off Church Rd. Sehemu ya biashara Oysterbay Morogoro stores. Mbezi beach, off Church Rd. Mbezi Beach near Duma street. 1) Kiwanja cha sqm360, Mbezi beach, off Church Rd. Asking price Tsh330M. Contact number 2) Nyumba ambayo ni studio apartment, pia kuna msingi wa nyumba ya …
Ijue Malaika Rental and Design
Malaika Team wakitoa maelezo kwa wateja waliofika kwenye maonyesho ya bidhaa wanazozikodisha kwa ajili ya matukio na hafla mbali mbali zikiwemo Harusi, mikutano, sherehe za kuzaliwa n.k Baadhi ya wateja wakiangalia thamani hizo zenye ubora na za kupendeza. They Rent Chiavari Gold & Silver and Folding Chairs, Tables and Table Linen for Small and Large Events. They can be …
Hafla ya Tuzo za Superbrands Afrika Mashariki Dar es Salaam
Mkurugenzi kutoka taasisi ya Superbrands ukanda wa Afrika Mashariki, Jawad Jaffer akitoa maelezo kwa wageni waalikwa juu ya kitabu cha orodha ya kampuni zilizotunukiwa hadhi ya Superbrands wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti vya tuzo za ubora na thamani ya nembo kwa makampuni bora 2013/14 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya MeTL …
Diageo Africa Business Reporting Awards 2013 Celebrate 10 Years of Best in Business Journalism on Africa
Awards now open for online entry 19th February 2013 DIAGEO, the world’s leading premium drinks business, today launched its annual Africa Business Reporting Awards for 2013. This year marks the ten-year anniversary of the Awards, which were initiated by Diageo to recognise journalists and editors who provide high quality coverage of the business environment in Africa. Following commissioned research, Diageo …