WANAHISA WA NMB WAPITISHA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 52

        BENKI ya NMB (National Microfinance Bank Plc) imetangaza gawio la shilingi 104 kwa kila hisa. Wanahisa wa NMB walipitisha kiasi kilichokuwa kimependekezwa katika mkutano mkuu wa Mwaka uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya gawio lote litakalolipwa kwa wana hisa ni shilingi Bilioni 52 kiwango ambacho kinaendana na sera ya benki ya kutoa moja ya …

Kampuni ya Bima ya Britam Yazinduwa Bima ya Afya kwa Makampuni

  Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya Bima ya Britam-Tanzania imezindua bima ya afya inayolenga kuhudumia makampuni makubwa, biashara ndogo na za kati (SMEs). Bima hii inajumuisha gharama za matibabu ya wagonjwa waliolazwa, vipimo vya magonjwa mbalimbali pamoja na majeraha yaliyotokana na ajali kwa waajiriwa wasiopungua 10. Bima hii itagharimu kati ya shilingi milioni 5 mpaka milioni 200. Akiongea katika uzinduzi …

Moovn Driver Kuwasaidia Madereva wa Taksi, Pikipiki na Bajaji Dar

    TANZANIA inatarajia kunufaika na teknolojia ya kisasa ya usafirishaji ya Moovn Driver, kwa watu wanaohitaji kupiga simu ya mkononi kuhitaji usafiri. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Godwin Ndugulile amesema huduma hiyo itawasaidia madereva wa taksi, pikipiki na bajaji nchi kufanya biashara kwa wakati na kukuza kipato chao na nchi …

Uzinduzi wa Utafiti wa Makampuni 100 Bora 2017

    Na Robert Okanda MAKAMPUNI ya kiwango cha kati yanatimiza jukumu muhimu katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. Kwa kutambua hilo, KPMG na Mwananchi Communications walianzisha utafiti wa makampuni 100 bora yafanyayo biashara ya kiwango cha kati. Banki M Tanzania ndiye mdhamini mkuu wa tuzo zitakazotolewa baada ya utafiti huo muhimu. Utafiti huo hubainisha mafanikio ya makampuni yafanyayo biashara ya …

KIFAA CHA DIJITALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO TANZANIA…!

  Wakulima wadogo nchini Tanzania hivi karibuni wataweza kupata taarifa mbalimbali za kijiditali kuhusu masuala ya pembejeo, ukiwemo ushauri utakaosaidia kutatua matatizo yanayowakabili kama vile upatikanaji wa fedha, pembejeo na mafunzo.   Mradi huo umezinduliwa na taasisi tatu za Alliance for a Green Revolution in Africa (AGRA), Positive International Limited (PIL), na Grameen Foundation katika sherehe zilizohudhuriwa na maofisa wa …

Mgogoro wa Vibanda Standi Ndogo Arusha Utapunguza Mapato-Mkurugenzi

    Na Mwandishi Wetu, Arusha MKURUGENZI wa Jiji la Arusha Bw Athuman Kihamia amekataa kamati ya watu 4 mbele ya Baraza la madiwani wa Jiji la Arusha iliyokuwa imepangwa kwa ajili ya kuchunguza mgogoro wa maduka hayo 396 yalipo stand ndogo Jiji la Arusha kwa kile alichosema kuwa wananchi bado wanawatuhumu madiwani wengi kuwa chanza cha migogoro hiyo. Mkurugenzi huyo amesema kuwa binafsi haoni sababu …