TAARIFA KWA UMMA KAMPUNI ya Bia ya Serengeti inapenda kuwataarifu wateja wake na umma na kwa ujumla kuwa kuna video isiyo na maadili inaiyosambazwa katika mtandao ya kijamii ikionesha msanii akiigiza na kuimba wimbo wenye mahadhi ya taarabu mbele ya bango lenye nembo ya bia Serengeti Premiur Lager. Tunapenda kuweka bayana kuwa onesho la msanii huyo halikuidhinishwa wala kudhaminiwa na …
Uwanja wa Ndege Mwanza Kukamilika Novemba
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mkandarasi anayejenga na kukarabati uwanja wa ndege wa Mwanza Beijing Construction Engineering Group (BCEG), kuhakikisha ujenzi huo unakamilika ifikapo Novemba mwaka huu. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa mnara wa kuongozea ndege, jengo la kuhifadhia mizigo, eneo la kuegeshea ndege na jengo la umeme litakalotoa huduma katika uwanja …
KCB Yatoa Msaada wa Milioni 48 Kwenye Ujenzi
Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha TFA Hogla Laizer (kulia) akikabidhi Msaada wa hundi ya shilingi milioni 48 kwa mkurugenzi wa shirika la Ereto East Africa foundation Godsave Ole Megiroo.Halfa ya Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ofisi za Benki hiyo zilizopo jijini Arusha. Na; Ferdinand Shayo,Arusha. Benki ya KCB nchini Tanzania imetoa msaada wa kiasi cha fedha cha shilingi …
Tanzania Kujengwa Machinjio Makubwa ya Sungura
Na Richard Mwaikenda WAKATI Tanzania ikijielekeza katika uchumi wa viwanda, mpango wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya sungura yatakayogharimu sh. milioni 100 utaanza mapema mwakani, ukiratibiwa na Kampuni ya Rabbit Republic. Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Moses Mutua alisema hayo wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa miradi ya sungura kwa wajasiriamali uliofanywa na Kampuni ya Namaingo Business Agency jijini Dar es Salaam wiki …
Uber Kukuendesha Msimu Huu wa Siku Kuu..!
UBER huendesha modeli fanisi inayoitwa bei hai, ambayo huwawezesha watumiaji kupata gari wakati wanaihitaji sana – hasa wakati wa siku za mwaka zenye shughuli nyingi, kama vile Siku ya Kuamkia Mwaka Mpya au baada ya hafla kubwa ya michezo. Msimu wa sikukuu ukianza nchini Tanzania, tunakabiliana na changamoto ya mwaka: tutawezaje kufika nyumbani sikukuu zikiisha? Ijapokuwa ni rahisi sana kuwajibika, watu wengi …
Wajasiliamali Watakiwa Kuwa na Mipango Madhubuti
WANAWAKE Wajasiriamali nchini wametakiwa kuwa na mshikamano, uthubutu, na upendo ili kusonga mbele katika shughuli zao za kiuchumi. Mwito huo ulitolewa na Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Sura Mpya na Sauti Mpya Tanzania (NFNV), Emma Kawawa ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati akifunga mkutano wa kupanga na kuweka mikakati ya vikundi vya umoja na umoja wa kitaifa wa wanawake (Uwawasota) kwa …