Rais Magufuli Avutiwa na Utendaji wa Benki ya NMB

BENKI ya NMB imemwakikishia Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kuwa itaendelea kutumia mifumo ya kiteknolojia ili kuwawezesha wateja wa benki hiyo kutumia zaidi mifumo ya kieletroniki kuliko unaotumika zaidi kwa sasa wa malipo kwa kutumia pesa taslim. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Kibiashara cha Mtwara na kueleza kuwa nia …

Dk Tizeba ‘Akifungua’ Mkutano Mkuu wa Wadau wa Chai, Mufindi

  Wadau  wa  zao  la chai nchini  wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu  wa mkoa  wa Iringa Amina Masenza (mwenye hijabu ) aliyemwakilisha  waziri wa wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba katika  ufunguzi wa mkutano mkuu wa wadau wa chai nchini leo  katika ukumbi wa TRIT Ngwazi Mufindi, kulia kwake ni mwenyekiti wa bodi ya chai nchini Spika (mstaafu ) Anne Makinda, …

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kufungua Mkutano wa Tisa wa Wadau wa LAPF

 Meneja wa Takwimu Hadhari na Tathmini wa LAPF, Abubakar Ndwata (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo. Kushoto ni Meneja Masoko la Mawasiliano wa LAPF, James Mlowe.  Mkutano na wanahabari ukiendelea. Wapiga picha wakichukua taarifa hiyo.   Dotto Mwaibale na Christina Mseja   WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufungua mkutano wa tisa wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF jijini Arusha.   Akizungumza katika …

Dangote ends Nigeria’s Cement Importation…!

FOLLOWING continuous increase in its production capacity, foremost cement manufacturer, Dangote Cement Plc has finally ended the era of Nigeria’s dependence on importation as the company exported 0.4 million tons of the product to other countries in 2016. In its 2016 full year audited results presented on the floor of the Nigerian Stock Exchange (NSE) in Lagos yesterday, Dangote Cement …

Prof Waziri Mbarawa Uso kwa Uso na Bodi ya AfDB

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ameiomba Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo Africa (AfDB), kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika mkakati wake wa kukuza uchumi kwa kuwekeza katika sekta ya miundombinu. Akizungumza na Wakurugenzi wa Bodi ya AfDB waliomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Prof. Mbarawa ameishukuru benki hiyo kwa ushirikiano inaoipa Serikali ya …