Global peace Foundation Tanzania: Vijana wanaohitimu shule na vyuo waepuke kujiingiza katika matukio ya uvunjivu wa amani.

Taasisi ya Global peace Foundation Tanzania imewataka vijana wa kitanzania kushiriki katika kulijenga taifa pindi wanapohitimu masomo yao wakiwa shule na vyuoni ili kuepuka kujiingiza katika matukio ya uvunjifu wa amani. Global peace Foundation Tanzania  wakiendeleza mfululizo wa warsha zao za kuwajenga vijana leo wakishirikiana na kituo cha vijana wa Tandale Youth Development Center (TYDC)  kimeendelea kutoa warsha kwa kuwapa …

Dk. Hassan Abbasi Kuichunguza Kampuni ya StarTimes na TBC

MKURUGENZI wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dk. Hassan Abbasi ataongoza jopo la wajumbe kumi walioteuliwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kuchunguza ubia wa Kampuni ya StarTimes na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na kukabidhi ripoti kwa waziri. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Zawadi Msalla kwa …

Naibu Waziri Dk. Kigwangalla aagiza uboreshaji wa huduma za Afya Tunduru

  NAIBU waziri wizara ya Afya, Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla ametoa maagizo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduru kuhakisha wanaboresha huduma za Afya katika Wilaya hiyo hasa kituo cha Afya Mkasale ambacho kimebainika kuwa na huduma mbovu huku pia kikiwa na uchakavu kwenye majengo yake hali ambayo inaweza kuhatarisha usalama na afya za watumishi …

KIWANJA CHA NDEGE TABORA CHATAKIWA KUJIENDESHA

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameutaka uongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kuweka mikakati endelevu ili kuwezesha kiwanja cha ndege cha Tabora kujisimamia na kujiendesha kutokana na miundombinu bora na ya kisasa inayoendelea kujengwa kiwanjani hapo. Amezungumza hayo jana mkoani humo, mara baada ya kuanza ziara ya kikazi ambapo pamoja na …

Walimu waombwa kuisaidia NMB kutoa elimu kibenki

            WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewashauri walimu kuisaidia Benki ya NMB kutoa elimu ya masuala ya kibenki na hasa umuhimu wa kujiwekea akiba kwa jamii wakiwemo watoto ili iweze kuwasaidia hapo baadaye. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Eleuther Mwageni …