Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB imezidi kung’ara nchini huku ikifanikiwa kutanua mtandao wake kwa kufungua matawi mapya matatu katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Simiyu. Uzinduzi wa matawi hayo ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo kufunguliwa kwake kutaleta neema kwa wakazi wa maeneo hayo. Mkoani Kigoma benki hiyo ilizindua tawi jipya Wilaya ya Uvinza, Tabora (Igunga) katika …
MAOFISA UGANI WATAKIWA KUTUMIA MAFUNZO KUWAELIMISHA WAKULIMA
Ofisa Kilimo wa wilaya hiyo ya Uyui, Deogratius Mwampinzi, akizungumza katika mafunzo hayo. Kushoto ni Ofisa Kilimo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora, Said Babu. Ofisa Kilimo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora, Said Babu akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Mshauri wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Dk. Nicholaus Nyange akitoa mada kwenye mafunzo hayo. Mtafiti wa …
HALMASHAURI YA IGUNGA YATAKIWA KUTENGA BAJETI KUINUA KILIMO
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya hiyo, Costa Ulomi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Costech, Bestina Daniel akizungumza wakati akielezea madhumuni ya mafunzo hayo. Mwakilishi wa Mkurugenzi wa wilaya hiyo, ambaye ni mtunza fedha, Gordon Dinda akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi. Mwakilishi wa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, …
Tigo Yakabidhi Darasa Shule ya Msingi Hachwi Wilayani Kondoa
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Sezaria Makutta akikata utepe kuashiria kupokea darasa lenye thamani ya shilingi milioni 8.5 lililojengwa na kampuni ya Tigo kwa shule ya msingi Hachwi wilayani Kondoa, wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata, Mkuu wa kitengo cha usimamizi na mahusiano na serikali kutoka Tigo, Sylvia Balwire na Meneja wa mahusiano na huduma za Jamii kutoka Tigo, …
TANZANIA YA UCHUMI WA VIWANDA ITAFANIKIWA KWA KILIMO CHA KITAFITI
Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Geofrey Ngupula akizungumza na maofisa ugani na waandishi wa habari ofisini kwake. Kaimu Mkurugenzi wa wilaya hiyo Hadija Kabojela akizungumza katika mafunzo hayo. Mtafiti wa Kilimo kutoka COSTEC, Bestina Daniel akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH. Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Onesmo Kisoka akizungumza kwenye mafunzo hayo. Mshauri …
UVCCM Yaonya, Waliohamia Upinzani Waache Kugombanisha Wastaafu
Na Mwandishi Wetu, Kigoma UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewakanya wanasiasa waliohamia upinzani toka CCM wanaoeneza maneno ya chuki na mifarakano kwa lengo la kuwagombanisha marais wastaafu washindwe na walegee kwasababu kila Rais mstaafu alitimiza haki na wajibu wake alipokuwa madarakani. Pia Umoja huo umeelezea kukerwa kwake na tabia ya baadhi ya viongozi wa upinzani ambao asubuhi hutamka maneno …