Kwaya ya Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Akbano ikitumbuiza katika ibada iliyofanyika katika kanisa hilo jijini Dar es Salaam. Waumini wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano wakiwa kwenye ibada ya mkesha wa krismasi. Vijana wa Kanisa la KKKT la Azania Front wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo. Kwaya ya Vijana ya KKKT usharika wa Azania Front ikitoa …
Hatimaye Bwanaharusi Aliyekimbia Ndoa Kanisani Arejea na Kufunga
HATIMAYE lile tukio lililovuta hisia za watu wengi la bibi harusi, Given Mgaya, kukimbiwa kanisani na mchumba wake siku ya harusi, limepatiwa jibu baada ya bwana harusi , Samwel Mwakalobo, kujirudi na kuamua kutimiza ahadi yake ya kufunga ndoa. Ndoa hiyo imefungwa leo majira ya saa tisa Desemba 23 katika Kanisa la (K.K.K.T) Usharika wa Isanga na kufungishwa na Mchungaji, Mathias …
KCB Yatoa Msaada wa Milioni 48 Kwenye Ujenzi
Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha TFA Hogla Laizer (kulia) akikabidhi Msaada wa hundi ya shilingi milioni 48 kwa mkurugenzi wa shirika la Ereto East Africa foundation Godsave Ole Megiroo.Halfa ya Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ofisi za Benki hiyo zilizopo jijini Arusha. Na; Ferdinand Shayo,Arusha. Benki ya KCB nchini Tanzania imetoa msaada wa kiasi cha fedha cha shilingi …
Tanzania Kujengwa Machinjio Makubwa ya Sungura
Na Richard Mwaikenda WAKATI Tanzania ikijielekeza katika uchumi wa viwanda, mpango wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya sungura yatakayogharimu sh. milioni 100 utaanza mapema mwakani, ukiratibiwa na Kampuni ya Rabbit Republic. Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Moses Mutua alisema hayo wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa miradi ya sungura kwa wajasiriamali uliofanywa na Kampuni ya Namaingo Business Agency jijini Dar es Salaam wiki …