Matukio Shamrashamra za Mkesha wa Mwaka 2017 Dar
Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Akson, akipeperusha bendera ya Taifa wakati wa mkesha mkubwa wa kitaifa wa dua maalumu uliofanyika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Dk. Akson alimwakilisha Rais Dk. John Magufuli kwenye mkesha huo ambaye alikuwa mgeni rasmi. Waimbaji wa Kwaya ya Mass ya Sinza jijini Dar es Salaam wakiimba nyimbo za kumsifu mungu. Watoto …
Demokrasia Hutegemea Uwepo wa Vyombo vya Habari – TAMWA
IMEELEZWA kuwa vyombo vya habari ni daraja muhimu kwa uwepo wa demokrasia kwenye uchaguzi wowote. Na demokrasia haiwezi kuwepo pasipo vyombo vya habari. Hii ni kwa sababu uchaguzi huru na wa haki siyo tu kuhusisha uhuru wa kupiga kura lakini pia utoaji wa elimu ya jinsi kwa wapiga kura, kuhusu mchakato shirikishi ambapo wapiga kura hushiriki katika mijadala ya …
Rais Magufuli Ashiriki Msiba wa Jirani Yake Mzee Mbabe, Chato
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Desemba, 2016 ameungana na wananchi wenzake Wilayani Chato mkoani Geita kutoa pole kutokana na kifo cha Mzee Admirabilis Mbabe Manyama ambaye ni mzee maarufu wilayani hapa na Mzee James Lufunga Mchele ambaye ni jirani yake. Rais Magufuli pamoja na kuwapa pole wafiwa na …
Maambukizi Mapya VVU na Ukimwi Yashuka Nchini – Tacaids
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) Dk. Leonard Maboko (katikati), akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam, wakati akitoa taarifa kuhusu mapambano dhidi ya ugonjwa wa ukimwi katika mkutano wa kujitambulisha kwao tangu ateuliwe na Rais Dk. John Magufuli kushika nafasi hiyo Julai 7 mwaka huu. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya …
Dhamana ya Godbless Lema ‘Kizungumkuti’ Mahakamani…!
Na Vero Ignatus Arusha MAHAKAMA KUU Kanda ya Arusha imesikiliza maombi ya rufaa yayaliyowasilishwa na upande wa Jamhuri na ule wa mshtakiwa, Godbless Lema ambapo pande zote mbili wamekubaliana kusikilizwa rufaa ya upande wa Jamhuri ambapo upande wa serikali wameiomba mahakama kuwasilisha kwa hati ya maandishi hapo tarehe 30 Disemba 2016 Aidha rufaa hizo ni pamoja na ile ya upande wa Jamhuri kutoridhika na …